Application zaid ya moja utumishi

Application zaid ya moja utumishi

Cjapata ndugu yangu! Tangia 2011 yaan ila Mungu atasaidia tuu

Pole sana lakini usikate tamaa,jitahidi kuomba kazi kila zinapojitokeza na uzidi kumuomba Mungu. Kuna ndugu yangu tulimaliza nae mwaka huo huo,alikuwa akiomba kazi hata kuitwa interview haitwi hadi akakata tamaa,mwaka jana zikatoka nafasi akajitahidi kuomba nyingi kweli na kila moja aliitwa interview akafanya na mwaka 2014 ukaisha bila bila lakini wiki iliyopita utumishi wamempigia simu amepata nafasi ya HR.
 
Asante sana kwa kunipa matumaini!
 
Ni kweli usemalo mkuu, mimi mwenyewe nimemaliza chuo mwaka 2010, mwaka 2012 nikaitwa za HR officers nikapiga hadi Oral ila nikakosa, zikaja za Division Officers jina likakosekana kwenye kutoa matokeo ya written interview, hata mpaka leo sijui nini kilitokea, nikasonga zikaja za Social welfare officers mwaka jana nikapiga hadi oral tena ila ikawa bila bila, zikatoka zingine za HR officers sasa hzi ilibidi nisafiri hadi Arusha kwenda kufanya maana niliandika address ya Arusha wakati nakaa Dar sasa wao utumishi wakaleta utaratibu watu wafanyie mikoa waliyopo, hii ilinitoa knock out mapema maana written tu hata sikufika 50% nikarudi Dar nikiwa so disappointed nikiwa bado na machungu yake nikawa napita pita kwenye website yao tena nikaona za Labour Officers nikaapply kwa kujaribu tu nikiwa wala sina matumaini kama nitaitwa...mara nikaitwa written na nikapata marks nzuri tu za juu, nikaitwa oral na nikawa ndo nimetoka kiivo nimashachukua barua yangu na kureport kwa mwajiri.
Hapa maelezo marefu nimelenga ku-encourage wale ambao wanaomba wanakosa na kukata tamaa mapema. Keep on trying at the same time praying na ugundue wapi ulikuwa unakosea zilizopita ili zinazofuata uweze kujirekebisha. Mfano mimi niligundua confidence ya kujibu maswali ya Oral ndo lilikuwa tatizo langu maana written nilikuwa nascore vizuri sana, nikalifanyia kazi hilo na mambo yamekuwa vizuri.
NB: Unapotafuta ajira za serikali walau tafuta pa kujishikiza walau kupata kipato maana ajira za serikali zinaweza kuchukua muda sana hadi kuja kupata.
 
mkuu deonova asante kwa kunitia moyo inakatisha tamaa ngoja tukaze
 
Unaomba tu hata zikiwa 10 tunazipokea/wanazipokea muhimu uzingatie vigezo vilivyopo kwenye matangazo ya kazi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Unaomba tu hata zikiwa 10 tunazipokea/wanazipokea muhimu uzingatie vigezo vilivyopo kwenye matangazo ya kazi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Vp na lugha ya kutumia nzuri ni swahili au english?.
 
Back
Top Bottom