Application za chuo kenya.

Application za chuo kenya.

billgate98

Member
Joined
May 10, 2018
Posts
54
Reaction score
28
Habari za asubuhi wakuu.
Nilikuwa naomba kuelewa kama kuna mtu ashawahi kufanya application za chuo nchini kenya kama Kenyatta university au vyuo vyengine kenya unipe utaratibu.
Maana nimetafuta kwenye website yao sijaona sehemu ya sifa linganifu za pass za kwetu huku Tz na kule kwao.
 
Back
Top Bottom