George Barran
JF-Expert Member
- Sep 2, 2015
- 654
- 1,302
Nahitaji msaada whatsupp app yangu ilianza kunisumbua kam one week ago ilikua haifanyi kazi yani haileti sms wala haitumi kwa data mode hadi utumie wi_fi ndo inakubali nikaamua nifute nikadownload app nyingine mpya lakini hii mpya inakataa kujiunga kabsa inaload tu mda wote sielewi simu itakuwa na tatzo gani?