Wasalaam waungwana...
Mimi nipo na mpenzi wangu yapata mwaka na nusu sasa. Hatujabahatika kupata mtoto kwani bado tunajipanga kimaisha...
Huyu dada tumekuwa tukiiishi pamoja ila katika safari ya mapenzi kuchunguzana kitu cha kawaida. Huyu mwenzangu yeye ndo amekuwa ananituhumu hapa na pale na ikitokea hivyo ninamuelezea kwa kina juu ya hicho anachokishutumu na mwisho wa siku ananielewa tunasonga mbele ila yeye anadai hawezi kufanya upuuzi wa mchepuko kwani haoni thamani yake na anamuogopa Mungu.
Sasa miezi 6 iliyopita alipata ajira mkoani ikabidi aende kuanza kazi nami nikabaki hapa mkoa niliopo kuendelea na kazi yangu. Huko aliko huwa naenda kumtembelea naye mara huja kwangu kunitembelea, hupika tukala na kunywa.
KISA CHENYEWE SASA
Mwezi wa tano akaniomba nimnunulie smart phone, nikaenda duka la tigo nikamchukulia ile smart ambayo ipo chini ya promotion yao i think mmeaifahamu. Nikaichukua nikampelekea huko aliko. Wakati nimefika pale kwake nikagonga geti akaja akanifungulia akafurahi kuniona na akafurahi kwa zawadi ya simu.
Nikakaribishwa sebuleni nikapewa juice kunywa, nikawashiwa tv nikawa nacheki pale. Wakati naangalia tv wazo likaja nichezee chezee ile simu. Ndipo wazo likanijia kwamba huyu mtu ananituhumu daily na kwamba yeye ni msafi pasipo kifani. Basi wazo likanijia niweke ka programe mle kawe kananipa ukweli.
Nikaenda playstore nikasearch kaprograme kakucopy habari za matumizi ya ile simu kanitumie. Dah bahati mbaya playstore haina sana hivi viprogramu vya kuspy. Basi nikapata kamoja hivi kananitumia kwenye email yangu nani kampigia, muda aliopigiwa na meseji iliongia; basi. Hakaonyeshi nani kapigiwa na sms ilotoka kwenye simu.
Sasa bwana nikakaweka na bahati nzuri hakaweki icon kwenye screen. Nikampa simu yake nikakaa siku tatu nikarudi zangu Dar gheto kwangu. Kale kapogram kakaanza kunitumia taarifa kwenye email yangu kila baada ya dakika tano kwa masaa 24. Nikaanza kuona calls za jirani yetu hapa ana mke na watoto ndo zinaenda sana kwa wife. Yaani asubuhi mara 5, mchana mara 8 au zaidi jioni mara 6 au zaidi ila usiku hamna calls. Hii inamaanisha jamaa usiku anakuwa na mkewe kwa hiyo hamtafuti wife wangu ila kukicha tu zinaanza na wife akichelewa kufungua simu lazma jamaa atume txt ya kulaumu. Nikawa nafurahi kujua nini kinaendelea ila jamaa anapiga sana kuliko SMS japo najua txt zingeanza tu as time goes.
Nikimpigia wife simu tunaongea kawaida tu na haniambii chochote kuhusu ubusy wa mawasiliano yale. Unfortunately kale kaprogramu kamesizi hakatumi tena taarifa. Nikajaribu kukainstall kwangu kama majaribio kakatuma siku 7 tu pia kakaseaze. Sasa hapa nilipo naumwa coz sijui what is going on na ushahidi wa kuja kumpa live huyu ananituhumu mimi umekatikia njiani. Naumwa ile mbaya hadi juzi nikawekewa drip la maji; cha msingi nilitaka nipate evidence za kutosha b4 anything.
Je, watalaam ni kaprogram kapi kazuri kanakoweza kukusanyia ushahidi angalau mwezi hadi nusu miezi 4 bila kuchoka maana haka kamenikatikia kwenye chorus. Ni hayo tu jamani hivi viprogram vinasaidia kujua mienendo kwa vitendo ya wapenzi au watoto zetu.
NAOMBENI TIBA