Application ya kuboost signal network

Application ya kuboost signal network

mwepesi

Senior Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
155
Reaction score
96
Wakuu ninaishi mbali na network tower.sipati signal nzuri katka simu yangu. Haswa za internet. Naomba mwenye ujuzi anisaidie Nini cha kufanya..ili nikiwa nyumban niweze kutumia internet
 
Wakuu ninaishi mbali na network tower.sipati signal nzuri katka simu yangu. Haswa za internet. Naomba mwenye ujuzi anisaidie Nini cha kufanya..ili nikiwa nyumban niweze kutumia internet
Unahitaji frequency booster , na ni hardware sio software
 
Lkn vile vile kwa sm za kichna kama tecno itel infinx hazna broadband zenye nguvu niamn mm ukiwa na sm kama htc.motorola.sony. asee hata mstun znapandsha 3G au 4G... Nlikuwaa na mchna nikiwa wilaya flan hukoo mda wote n emergency calls only ..nikaagza motorola droid turbo kutoka DRC aseee hz sm n atar
 
Vip? Kuhusu simu iPhone kwy kupandisha signal networks
Lkn vile vile kwa sm za kichna kama tecno itel infinx hazna broadband zenye nguvu niamn mm ukiwa na sm kama htc.motorola.sony. asee hata mstun znapandsha 3G au 4G... Nlikuwaa na mchna nikiwa wilaya flan hukoo mda wote n emergency calls only ..nikaagza motorola droid turbo kutoka DRC aseee hz sm n a
 
Mkuu sidhani kama kuna software ya kufanya hiyo kitu labda hardware

Halafu kuna aina ya simu na simu zinauwezo tofauti.......nilikua na Samsung na jamaa yangu ana infinix tukienda chimbo moja ndani ndani ya Tz mwenzangu na infinix yake haisomi kabisaaa....no network, mimi na mkorea wangu nachat wahtasap na kuperuzi kiaina
 
Jaribu pia mitandao yote upime upi unapata signal nzuri

Kijijini kwetu TTCL inakimbiza balaa ila mingine yote ni shida
 
Vip? Kuhusu simu iPhone kwy kupandisha signal networks
Epo zpo gd shida copy ni nying sn epo upate version za europe au north africa yaan kwa kfup iphone ya bongo sio zote og nying n famba sana wataalam watakubali hii
 
Lkn vile vile kwa sm za kichna kama tecno itel infinx hazna broadband zenye nguvu niamn mm ukiwa na sm kama htc.motorola.sony. asee hata mstun znapandsha 3G au 4G... Nlikuwaa na mchna nikiwa wilaya flan hukoo mda wote n emergency calls only ..nikaagza motorola droid turbo kutoka DRC aseee hz sm n atar
Kuna ukweli hapa
 
Back
Top Bottom