Forecaster
Senior Member
- Nov 22, 2013
- 192
- 98
Wakuu naomba kusaidiwa kwa yeyote anayejua kama ipo application ya jamiiforums katika window phones?
Nina simu ya Window naomba na mimi nisaidiwe namna nitakavyopata hii 'application' ya Jamii Forum kwenye simu yangu.Wakuu naomba kusaidiwa kwa yeyote anayejua kama ipo application ya jamiiforums katika window phones?