Application ya free basics siku hizi haipo?

Ipo kwa laini ya halotel, tigo wamendoa huduma ya freebasics.
Kuna wakati unaeza kufungua usione jamiiforum usiogope inakuwa imefichwa kwenye list pale chakufanya unapewa option ya kupunguza au kuongeza list za websites kwa hiyo unachotakiwa kuingeza hiyo Jamiiforum na kuendelea kuperuzi.
Ahsanteee kwa kunielewa!!
Aisee hii unafanya vipi mi nina halotel nishahangaika sana kuitafuta jamiiforums ila bado siipati
 
Aisee hii unafanya vipi mi nina halotel nishahangaika sana kuitafuta jamiiforums ila bado siipati
Mkuu ukishafungua freebasics.com nenda chini kabisa utakuta hivi.
Kiswahili English
Get the free basics from app for free
•Add more free services( click hapa)
Remove services

Zitakuja oroza za websites ambazo unaweza kuperuzi bila malipo unapewa option ya kutafuta kwa hiyo utaandika Jamiiforum itakuletea matokeo utaigusa na kuingeza kwenye home page ya free basics mode.

Ahsante kwa kunielewa.
 
Ahsante mkuu nimekuelewa
 
Back
Top Bottom