Hawajatoa tangazo tangazo lolote kuhusiana na hizo kozi za afya. Endele kufuatilia kwenye mtandao wa wizara hilo tangazo huwa linawekwa mara tu wanapoanza kupokea maombi. Usikate tamaaa. Muda ndio unakaribia. Na nitaliweka hapa kwenye jamvi pia hilo tangazo likitoka so stay tuned mkuu.