Wapo mpendwa
#vikobasiganimtani?Kabla ya kujua kama nakutetea au la, inabidi tutambulishane kwanza.
#kwaniVileVikobasiNiVyaNani?
Nani iko teka wewe kipenzi?Upi tena kaka yangu kipenzi..?
#mbonakamaNahujumiwa
...
Nitaambia watu wanishukuru maana harakati zangu ndio zimesaidia
Haya maneno mawili "pole" na "hongera" jibu lao huwa ni moja tu
Asante
Hahah alafu huu uzi mbona upo chit chat
Kwamba unajifanya zile nyuzi za malalamiko kule jukwaa la malalamiko hujaziona?
Siku moderators wataunganisha kweye ule wa likes
πππππ umeanzaaa hivyooYaani kwin na kauli zako tata bhana sikuwezi...
#missedyoumuch
Babe,we acha tu...Kd amenitelekeza huku porini, ameweka mgomo kunifataπNani iko teka wewe kipenzi?
Mekumiss mimi
Ndio! Wewe unataka kunijaza hapa niropoke kumbe mwenzangu una panproof
Mtoto wa Melo, mamboπ
Huku wa Kwanza kulimwa ban ntakuwa Mimi
Sent using