Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,452
- 235,101
usinijaze huku umeona watu wamefikisha pages 192, sasa hapo ni swala la kutoa maagizo tu
Wewe ni mwalimu wa walimuHahaa!!
Itakuwa unanifananisha na anne,maana yeye ndo mwalimu
WeeeUnaumia na kupona bhana
Wadaka chozi mbona wapo
Nimegundua kuwa niliwamiss
Usiwe na mashaka na mimi bhana
Hapa namchanganya anne tu
Yako sina bhana
Hahah
Ilikuwa ngumu kuto kuona yale maneno
Hahaa