ha ha haaa......!!! hapo Bado hujatumia e-mail na Password fake (za kwenye Generators) Mkuu technology ni uwanja mpana sana.....!!!Umetisha π
Hii sikuonaWalivyo wabaguzi sasa wameangalia wale waliosifia sana ndio wakawarudishia
NimeshakujaSaint Anne hebu kuja pande hii kabla sijaghairi
Kumbe unataka ukaniuze wozap??Nimeshakuja
Nibariki tafwadhali nikasuuze roho yangu WhatsApp huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unataka ukaniuze wozap??
Umenikosa
Dah kumbe ningewahi ningeona picha mimi jamani
Never in kd's voice
Dah
Shida ni pale ulipoanza kunisifia sana na kuniambia unataka kwenda kuniuza wozap