carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
sio kweli. kama hapo nimeweka tiki kote ila hamna notifications nnazopata.
Sasa wangetuacha tudharirike kuisifia app halafu wasirekebisheTena mshukuru huu uzi umesaidia kufikisha malalamiko yenu na sasa wanajitahidi kuwarekebishia
Nani kakwambia ni pombe wewe mtoto?
Kwenda hukoNani kakwambia ni pombe wewe mtoto?
Hiyo ni juice radha yake kama embe
Eeeh!ila huyu tunakaa nae meza moja
Basi acha tuseme hiviTena mshukuru huu uzi umesaidia kufikisha malalamiko yenu na sasa wanajitahidi kuwarekebishia