Sema povu sijui nilishazoea MimiPovu +block vingekuhusu
MUNGU huyu....si Bora nimuuza King mpole..
Mwingine angekuwa ashanitoa meno
Sema ile picha inashawishi Sana..nikajikuta nimemuuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah hata Mimi namuona.
Ila sio poa bhana
Sema unabahati mtoto wa balozi mpole na haweki vitu moyoni la sivyo ungejuta
Ushakua mtukutu
Hahaa!eeh siuliona juzi nashangaa napewa makiss tu
SanaUshakua mtukutu
ππππ nijaze tuYeah hata Mimi namuona.
Ni moja kati ya watu niliotokea kuwakubali Sana...hana makuu kama wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
nijaze tu
Kakwambia wewe,weka basi tuone