Anazeeka vizuri sasa.
Naamini atapata baraka zaidi ya zile maana kakua saiv
Hahaa!hakikaKwakweli sasa hivi hakuna ambae atasita kumbariki
Utoe Sasa ile emojKwakweli sasa hivi hakuna ambae atasita kumbariki
full sikushauri maana simu yake inatabia ya kupost yenyewe
Kwahiyo ukaona mnyonge wako ni mtoto wa balozi sio?
Povu +block vingekuhusu
ππππ
MUNGU huyu....si Bora nimuuza King mpole..
Mwingine angekuwa ashanitoa meno
Sema ile picha inashawishi Sana..nikajikuta nimemuuza
Sent using Jamii Forums mobile app
full sikushauri maana simu yake inatabia ya kupost yenyewe