Hiyo nitakunywa Kama maji tuSasa ndo uanze na hiyo tuone utabugia ngapi
Haaahha!noma sanaKawa fundi mpaka anawazidi mafundi
Umee wake umemjia vizuri sana
Hahaaaa!!
Kwamba umeacha minada sio?
DahShwaini wewe unanikumbusha machungu
Anazeeka vizuri sasa.Umee wake umemjia vizuri sana
ππππDah
Niliuuza ule mguu
Nikawaza na Mimi kuna mtu aliuza mguu wangu mwenye selfie
#Inaumasana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ukaona mnyonge wako ni mtoto wa balozi sio?Dah
Niliuuza ule mguu
Nikawaza na Mimi kuna mtu aliuza mguu wangu mwenye selfie
#Inaumasana
Sent using Jamii Forums mobile app