Jamani jamani
Ila nasikitika sijui imenipelekea wapi picha zangu zote za camera..
Yaani Sina hata moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi tena?
Atleast inakupunguzia stress za korona
Anza na hiyo kwanza
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Acha tu mzee,chozi limegoma kutoka sijui kama hili jina linafaa kutumika tena
Eeh huo mzigo ulikuwa wangu huyo anne kawa kama kibaka tu, sasa anirudishie muhusika
ππ hii Freebasics kumbe ina wadau wengiam still too young...napendelea sana app kwa sababu ni user friendly...haina complication kwenye swaala la kuangalia next page tofauti na kwenye browser inakubidi uanze kuitafuta next baada ya kungalia page ya kwanza...though kwenye app swala la kubold na kutumia zile features zingine kama italic zipo complicated sana tofauti na kwenye browser..pamoja na yote jf kwenye browser natumia pale tu napokuwa sina bando...i meann kwenye freebasics
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati NiniEeh huo mzigo ulikuwa wangu huyo anne kawa kama kibaka tu, sasa anirudishie muhusika
KD Soma sentensi ya kwanzaam still too young...napendelea sana app kwa sababu ni user friendly...haina complication kwenye swaala la kuangalia next page tofauti na kwenye browser inakubidi uanze kuitafuta next baada ya kungalia page ya kwanza...though kwenye app swala la kubold na kutumia zile features zingine kama italic zipo complicated sana tofauti na kwenye browser..pamoja na yote jf kwenye browser natumia pale tu napokuwa sina bando...i meann kwenye freebasics
Sent using Jamii Forums mobile app