carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
naona kabisa vile simu yangu itavyokuwa bize kuita na hizo VC
Nitumie whatsapp nikusaidie kuweka
πππππππππππππNimewaweka wote kundi moja
Mwenyekiti wenu Bush bin laden
Unafwata wewe
Anafwata KENZY
Huyo chair wenu kabla sijasoma comments yake huwa naanza kucheka kwanza.
Ile Avatar yake na jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Weweeee
Kupitishwa vituo ni kwa sababu ya hili kabati wala sio App. Acha kuchanganya mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
naona kabisa vile simu yangu itavyokuwa bize kuita na hizo VC
Yaani ataku VC ili acheke tu
Utapata tabu ujue
Ni ushirikiano kati ya App na kitunza picha chakoWeweeee
Kupitishwa vituo ni kwa sababu ya hili kabati wala sio App. Acha kuchanganya mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu niwekee hapa uzi niende nikasome
Na mtandao unachangia.
Hata mimi nimemwambia kupitishwa kwako kituo ni sababu ya uzembe wako
Ni ushirikiano kati ya App na kitunza picha chako
Na hilo kabati unalotumia utakuta zimepotea
Ile siku ya jaribio jipya
Sikumbuki ni lini nilikuwa mzembe kiasi hichi kinachoongelewa hapa
Kwahiyo umeachwa ama umeacha?