carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Shida nini totoo?Yaani anavyoniyumbisha mpaka sio poa ujue
Sijambo Carba ila sio kiviiile, vipi wewe?
ananihujumu huyoo
#hatuachani
Nitaanzisha kikundi,Hivi kwanini usijiunge na wale wakina Bambo kwenye kile kipindi chao?
Huu uzi ulikuwa Moto Sana juzi na Jana.
Kwamba umehamishia kambi huku??
nimecheka sana
Unaulizia usiku wa samaki?
Dah!
Nitaambia nini watu na vile nilishangilia
Huu uzi ulikuwa Moto Sana juzi na Jana.
Ndio sehemu pekee tutakapokutana..msipokuja ndio Basi Tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ embu nitolee balaa sasa hivi, nitoe mimi jiweke wewe hapo lazima kipindi kitafafiliwa hadi na TrumpNitaanzisha kikundi,
Nakuweka wewe na wale jamaa wawili wa mchana(Bush bin laden na Kenzy)
Hii comedy itakuwa hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeenda hospital lakini?ama unakomaa tu nyumbani?Week nzima hii nimekuwa nikiumwa kichwa kila ifikapo jioni sasa sijui nini tatizo?
Nafurahi kusikia uko poa pia nafurahi kukuona
Wenyewe wanasema mwezi wa tano wataboreshaHivi kwanini notifications za app sikuhizi hakuna??zamani nilikua nazipata sikuhizi hovyo kabisa
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ostaz huku hawezi kujaAkambebe na Ostazi wake sasa amlete huku