Kwani browser ina background nyeupe, si ina background ya brown sijui rangi gani ile hivyo imekaa gizani.Browser ina giza? Emu nioneshe
Uwii yaani browser tu yenyewe ilivyokaa gizani vile bado tena mtu anataka dark mode? Mwee nahisi ningechanganyikiwa mara dufu!
Shwain zako....Kwani browser ina background nyeupe, si ina background ya brown sijui rangi gani ile hivyo imekaa gizani.
Yaani kwa kifupi browser iko displayed kwenye dark colors, while app iko displayed kwenye bright colors.
π tehYani Dada na wewe upo kwenye Kundi la
Browsers, TeamOperaMin, TeamGoogle Chrome, TeamFirefox
Waliozipata picha Sasa wamezionaumenishinda tabia
Unavyodhani ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo
Shwain zako.... View attachment 1425548
Waliozipata picha Sasa wameziona
Mambo yamekuwa ndivyo sivyo
Sivyo ndivyo ndivyo sivyo
Nachana tu Mimi
Prof j
Utaubeba msalaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. LolWatu wa App mnatumia nguvu nyingi sana kuipambania appy yenu πππ
Wafanye fanye app irudi kwenye ubora wake swahuba πHahahaaaaa. Lol.
Mi pia mmekumiss sana tu. Hivyo na wewe kama Mgagaa na Upwa mnatumia browser sababu App haieleweki. Lol.
Zidini kupaisha kilio chenu Swahiba ipo siku kitafanyiwa kazi. πWafanye fanye app irudi kwenye ubora wake swahiba π
Imeanza kurudi kwa kupata notification,nadhani baada ya muda picha pia zitaanza kufunguka π€Zidini kupaisha kilio chenu Swahiba ipo siku kitafanyiwa kazi. π
Unaona ulivyo sasa? Bibi unatapa tapa tu ππππ hebu lamba ugolo wako ulalesasa hizo marangirangi zote za nini, rangi saba kidogo kama upinde wa mvua khaa haipendezi bhana.
Unaona ulivyo sasa? Bibi unatapa tapa tuhebu lamba ugolo wako ulale
π teh
Saafi!! Swahiba uvumilivu huo ndio tunataka sasa. ππImeanza kurudi kwa kupata notification,nadhani baada ya muda picha pia zitaanza kufunguka π€
Hapana Mtani mwisho wangu kutumia App ilikuwa 2015 toka hapo naisikia tu na wala sioni cha kunishawishi kutumia sababu naiona ina mapungufu mengi ambayo huwezi yakuta huku kwenye browser.Kwa hiyo mtani Browser ni kama Simba, App ni Yanga?
Nimeshuhudia mpendwa ππ