Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,272
- 2,858
sometime huwa inasikitika sana mambo ya JF though sio sifa hata kidogo...binadamu mwenzenu anaomba msaada wenu wa kutojibiwa electronic applications hata moja, ndo kwanza wengine mnamdhihaki, ooh nipm, jina lako limenivutia, mwingine namba za simu....kiumbe la msingi usikate tamaa me niliitwa kwenye interview za email nyingi tu na wezi humo humo walinijibu wakitaka pesa be keen, extracareful, then never give up...aluta continua