Of course ni kosa kuweka link ya Software za wizi. Na wewe unashiriki kuiba. Software kama Photoshop ni za kazi, as such huwezi kufanyia kazi bure. Ndio maana wanauza wakijua unafanyia biashara pia. Makampuni haya hutoa leseni bure kwa vyuo. So kwa wanafunzi sio issue.
Ukisema kwa personal use bado kuna better free alternative kama Paint.net na Gimp.
.
So tuache wizi. Kama unafanyia biashara nunua. Imagine ukute namsaidia kibaka kuvunja dirisha ili aibe kiulaini. Utafurahi?