Application muhimu kwa smartphone yako

Sio prank hii? Vipi we ulishaitumia?
 
Mkuu nielekeze hiyo LIBRERA na jinsi ya kuweka page isome kwa sauti kwangu nimedownload ila haisomi kwa sauti.
 
Mkuu nielekeze hiyo LIBRERA na jinsi ya kuweka page isome kwa sauti kwangu nimedownload ila haisomi kwa sauti.
Weka hapo kwenye easy mode ,ikifungua page kwa jui utaona kialama kama cha speaker [emoji344] then kibonyeze itaanza kusoma,Ukitaka kubadilisha sauti iwe ya me au ke nenda pale kwenye advanved..
 
"Times9, post: 23922600, member: 419167"]Unajua maana ya neno HACK..!?
 
Mkuu ahsante sana, nime-download poweramp kusema ukweli toka moyoni hii app inazitendea haki headphones zangu za jbl. Thanks a lot
 
Jet audio.

Kwa wapenda sauti nzito na ya juu ktk headphones.Ila shart isetiwe.picha kuatarch humu hata sijui.

Ila atakayedownload aifungue hapa hapa nimpe maelekezo na wengine waone.

Uzuri wa hii haina muda utaitumia tuuuuuuu,sio kama Poweramp.
 


Chief-Mkwawa msaada mkuu kwa hili
 


Mkuu hii app kazi yake ni kutafuta home wifi ya sehemu uliyopo au maan hapa nina simu mbili moja nimewasha hotspot ili nifanye testing ila nimetumia hii app kusearch lakini sjaona hii simu nyingi ila nikiingia kwenye wifi niki search naiona ila kwa hii apps naziona tu home wifi naomba maelezo kwa hili imebase sana wapi hii app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…