Application muhimu kwa smartphone yako

nikisachi kwenye wifi yangu ya kawaida ya kwenye simu napata wifi ya mtu ipo jirani tu na mimi lakini nikitumia hiyo wifi map ili niipate password yake siipati, naletewa wifi zilozopo mbali umbali wa 600m wakati ya hapa jirani ambaho haifiki hata 50m haionekani kwenye WiFi map,shida nini?
 
Sorry mkuu m nilidownload lakini nimeshindwa namna ya kuitumia naomba msaada nielekeze boss wangu nianzie wapi niishie wapi kutumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kutunza notes zako app ambayo huwa natumia ni Evernote hii iko poa sana nimekuwa naitumia tikea 2012 na niko na notes zangu zote since then.
 
Ndio shida ya hiyo App.
 
Mkuu, hii kitu ni uhalisia?
 
wasapu
usokitabu
instagramu
twita

asilimia 99 ya simu janja wanatumia hizo
 
Naomba kujua namna ya kutumia VPN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…