mx player mkuu ni nzur saaaaaaaaaana mnooo tena unaweza ukaweka video afu ukakata yaan ukaskiliza kama wimbo kwenye home yaan background ,sasa apo n setting na ujuz na uelewa wa lugha unaset kwenye setting yake Bluetooth inaweza, ata ukipigiwa sm unaendlea kuskiza mzik kwa chin chinNyie wa ios hpat vitu ving coz android ina watumiaj weng sana dunian afu ni simple
LOCATIONGPS kwenye setting ya simu inapatikana wapi
Nafikiri ingekua vizuri kutaja app na kazi yake kwa jinsi ulivyoandika sio rahis kwa mtu kuelewaJf
Duolingo
Quran
Adobe reader
Homestyler,houzz (interior design/deco
Aliexpress
Accuweather
Google maps
Chrome
Iphone wanazo wachache ndiyo maana unaona utundu haupo. Njoo android ule bata maana huku kuna apps zaid ya milion 1.Mbona hamuwek maujnja kwenye IOS na wengine wakapata kufaidika?
Ushanichanganya hapo dahIyo ni kiboko! Hata mtu aki update password nayo ina update pia, ina show passwords alizo change, ila mapungufu yake ni kua unahitaji kua connected to the internet ili iweze kufanya kazi, then uta copy passwords zako na utafanya yako.... Ila kwa usalama zaidi wa mambo yako utakayokua unafanya online pindi utakapo kua umefanikiwa ku connect na moja ya secure WiFi, basi huna budi kutumia VPN ili ku hide IP address yako na original location....
Hakuna mkuu zaidi ya hiyo ilokuwa kwenye simu yako.Hv kuna application ya kusikiliza radio ambayo no OFFLINE
Ok mkuu.ngoja nihaririNafikiri ingekua vizuri kutaja app na kazi yake kwa jinsi ulivyoandika sio rahis kwa mtu kuelewa
pamoja sanaMetatrader 4.
Metatrader 4.