Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone
Spy GPS Tracker
Hizo unamtwanga mpk picha unamrecord akiongea au krecord maingezi ya kawaida unapiga screenshort unalock simu unamtumia sms gata akiweka line nyingne inakwenda kama frash massage akiweka line inakutaarifu ni mtandao ganu nk
na nzuri pia km unataka kujua mchepuko wa DEMU wako ni rahisi install apps katika simu yako au mtu wako fuata maelekezo then jisajiri na email yako katika website zao then tulia katika laptop au simu browser kumuona mwizi wa tunda lako au ukiibiwa simu unamtafuta tu labda afanye hard resete lkn pia unaweza set simu yako asifanye hardresete mpk akafrash kwa mafundi
Lkn jambo kubwa ukiibiwa simu andaa ela hata kama hujui IMEI fungua kesi nenda sento kuna watu wa kazi wanaifatilia na wanaipata then gharama zako zote anakulipa mwinzi wako muhimu kabla husirenew line ulizokuwa unatumia kwenye hiyo simu hakikisha kwanza mpelelezi wako au wewe mwenyewe ushaenda kwa watoa huduma ama tigo au voda wakakutajia IMEI yako basi mchezo umeisha labda aivue IMEI na akiivua TCRA hawamkwepeshi wanaifungia faster sema watu sisi wavivu tu