Habari yenu wadau
Nina ndugu Yangu ana duka la vifaa vya ujenzi anahitaji computer application ambayo itamsaidia kurekodi mauzo na manunuzi lakini pia kumpa ripoti mbalimbali atakazo hitaji.
Pia iwe na uwezo wa kufanya backup ya database ili Incase computer ikiharibika then taarifa ziwepo
Naomba unitajie Gharama za hii Kazi hapahapa kabla hujaja pm.

Kuna watu ambao mmesha wafanyia hii kazi ili aweze kwenda kuona?
Nawashukuru wote kwa kujitokeza,naomba kila mmoja wenu anitumie Namba yake ya Simu PM then itafanyika evaluation Kulingana na uwezo wake then nitawacheki
Mungu awabariki