Apple wanazidi nyanyasa kwenye sales

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,040
Kampuni ya Apple inayoproduce simu za iphone inaendelea nyanyasa kampuni zingine kubwa za simu kwenye mauzo kama samsung, oppo, huawei etc.

Hapa nitakupa stats za 2018 & 19 uone jinsi iphones znavonunulika kwa sana
Adjustments.jpg

Pia. According to the Omdia Research's Smartphone Model Market Tracker tool, the iPhone 11 was the best selling smartphone in the January - March period. Unsurprisingly, Apple managed to continue its solid sales volume from 2019 and move an estimated 19.5 million units of its most affordable new phone.
IMG_0813.jpg

Hapo tunaona kuwa Apple hana mshindani kwenye market kwa sasa anatoa simu na anauza kwa bei anayotaka.
 
Apple ni kama Huawei, wanategemea zaidi mauzo ya kwao, nchi ambazo iphone zinauzwa sana ni zile ambazo inakuwa subsidized na mitandao ya simu, mfano Marekani, South korea, Japan, Uingereza, Australia etc unakuta iphone inauzwa dola 200 lakini unakuwa locked kwenye mtandao husika kwa muda fulani

toka huko nenda nchi wanazonunua simu kama sisi mauzo ya Iphone ni madogo sana.
 
Hivi chief kati ya notes 10/S10 na iphone 8+ ipi simu kari
 
Inshort kuna jamaa anataka kwenda nunua simu yy kama yy anataka simu nzur sasa bajet yake ni 1.2M sasa akaniomba ushaur kati ya iphone 8+ na notes 10/S10 ipi simu nzur mimi kama mm nimwambia sijui ila nitaenda mtafutia jibu yeye anataka camera na ujanja mengne yaan sasa ndio nimekuja kwako kukuliza kat ya hzo simu ipi mashine
Inategemea na wewe mwenyewe unapenda android ama ios
 
Inshort kuna jamaa anataka kwenda nunua simu yy kama yy anataka simu nzur sasa bajet yake ni 1.2M sasa akaniomba ushaur kati ya iphone 8+ na notes 10/S10 ipi simu nzur mimi kama mm nimwambia sijui ila nitaenda mtafutia jibu yeye anataka camera na ujanja mengne yaan sasa ndio nimekuja kwako kukuliza kat ya hzo simu ipi mashine
Sio rahisi kupata Note 10/s10 kwa hio bei labda zile refurbished. Ila s10 lite anaweza kupata.

Pia angalia oneplus 7/7T unaipata hio budget
 
Apple ni kama Huawei, wanategemea zaidi mauzo ya kwao, nchi ambazo iphone zinauzwa sana ni zile ambazo inakuwa subsidized na mitandao ya simu, mfano Marekani, South korea, Japan, Uingereza, Australia etc unakuta iphone inauzwa dola 200 lakini unakuwa locked kwenye mtandao husika kwa muda fulani

toka huko nenda nchi wanazonunua simu kama sisi mauzo ya Iphone ni madogo sana.
Binafsi naendelea kupambana na umaskini kama wanavyoziita humu simu za wanyonge vyovyote vile poa tu. chief kati ya Tecno phantom 6 vs Tecno phantom 6 plus(+) ipi niinyake zipo izo mbili na chaguo ni moja nipe ulijualo kwaizo chaguo Mkwawa NB ni mtaani zipo sio dukani.
 
mkuu hizi ni simu za kizamani sana inategemea na bei unayopata, baina ya hizo 2 phantom 6 plus ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom