Namtambua samsung kama mkali wa kucopy na kupaste,kubuni simu kama galaxy S2,s3 ni ndoto kwao bila kuwepo kwa iphone cause wenyewe ni wakali wa kutengeneza vyoyoz,fridge,laptop,battery, tv na kamera.Apple ni kampuni linalobuni computers tu.
So samsung kumpiku apple ni ndoto za alinacha,na anatambua hilo.
Msiba wa steve jobs ni moja ya pigo ktk kampuni ya apple,na kuzorotesha baadhi ya kazi.
Ila wana wanajipanga upya.

Mkuu hapo kwenye RED sio kweli kabisaaaaa
Kuhusu umbo la nje la simu sio inshu ki vile,kinachomata ni chipset kati ya EXYNOS(samsung) na A series ya apple.
Yaani samsung kakopy kila kitu.
Namtambua samsung kama mkali wa kucopy na kupaste,kubuni simu kama galaxy S2,s3 ni ndoto kwao bila kuwepo kwa iphone cause wenyewe ni wakali wa kutengeneza vyoyoz,fridge,laptop,battery, tv na kamera.Apple ni kampuni linalobuni computers tu.
So samsung kumpiku apple ni ndoto za alinacha,na anatambua hilo.
Msiba wa steve jobs ni moja ya pigo ktk kampuni ya apple,na kuzorotesha baadhi ya kazi.
Ila wana wanajipanga upya.
Ngoja nkusahihishe mkuu kidogo
1. Wakati anakufa steve job powerfull gay tim cook alikua ndio ceo wa apple na sio steve job maana job alikufa akiwa kashajiuzulu sio pigo kwa apple.
2. Quarter 2 ya mauzo imetoka july 19 2012 samsung ameuza 50 million apple 26 million bado kidogo samsung amdouble apple sasa hapo sjaelewa unaposema samsung kumpiku apple ni ndoto za alinacha.
3. Kama ni kuiga they both copy and paste vitu vingi toka nokia mfano
-button ya katkat iwe ndo menu
-ukibonyeza kwa kuhold menu zinakuja open application
-simu ikae pembe nne au umbo linalofanania nalo
-mpangilio wa menu na application
-na vingine vingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hehe inaeza sound kama ujinga ila great thinker hua anaelewa
chezea chief nokia mkwawa ww... But i heard apple ndo ka make big profit japo kauza kdogo
Nop samsung ndo kavunja rekodi ya profit usd 5.59 million karibia ifike kabajeti ka nchi yetu. Hio profit haijawahi fikiwa na kampun yoyote ya simu even my adorable nokia enz zake
damn.,. Hv samsung ni from korea ?
Namtambua samsung kama mkali wa kucopy na kupaste,kubuni simu kama galaxy S2,s3 ni ndoto kwao bila kuwepo kwa iphone cause wenyewe ni wakali wa kutengeneza vyoyoz,fridge,laptop,battery, tv na kamera.Apple ni kampuni linalobuni computers tu.
So samsung kumpiku apple ni ndoto za alinacha,na anatambua hilo.
Msiba wa steve jobs ni moja ya pigo ktk kampuni ya apple,na kuzorotesha baadhi ya kazi.
Ila wana wanajipanga upya.
There is nothing new under the sun, mbona Steve Jobs naye ka copy paste sana tu?
Mi nashangaa watu wanavyojifanya wanaweza kuanza kitu from scratch wakati katika teknolojia we don't reinvent the wheel if we can reuse code.
Biashara ndiyo inaharibu progress ya teknolojia.