Duhhh!!! Nmeenda youtube watu wana ponda et c stands for cheap or china or color!! Sasa sjui lipi la kweli ila na his hii bidhaaa itawashika weng hasa ambao ni brain washed !!! Kuna watu wanajua hamna smu kali kama za apple... Hata akiwa na i phone 3g ambayo ni outdated anajikutaaa....
Then i heard now siri itakua sauti ya kiumeeee!!! Nadhan wadada wataongeza kutumia and viceversa is true!!