Huu uwongo tu wa kibiashara Apple wanajaribu kuwa brainwash iFan royals...
Samsung iko juu iphone ipo juu kwa bei naifananisha na blackberry
Wazungu wengi hawatumii nokia wala samsung bali wanatumia iPhone
Huu uwongo tu wa kibiashara Apple wanajaribu kuwa brainwash iFan royals...
Wazungu wengi hawatumii nokia wala samsung bali wanatumia iPhone
Wamarekani wamerogwa na brand yao. Kuwa mnazi wa iphone yataka moyo. Kila mwaka uwe na budget ya 1M ya kununua simu.
hahaaa, je ukiwa mnazi wa samsung? wao hawana ratiba wakufulia tu wanatoa simu mpya, utatoboka mifuko! halafu wenzetu kampuni zao za simu wana plans nzuri sana, wanasubsidize simu wananunua zaidi ya nusu ya bei, huku sisi airtel wanaimba tu "kwa kushirikiana na kampuni ya Apple"...wamenunua simu kienyeji halafu wanaresale kwa faida halafu wanatumia jina la wenzao kinyemela...pumbavu!
Kama benki imeweza kutoa mikopo kwa wafanyakazi, kwanini haya makampuni yasitoe mikopo ya simu mtu ukawa unalipa kwa insallment??