Apple ni marufuku kutumia chaji za Android

Kwa hiyo anaeumia kwa saa ni nani? Maana kama simu inachemka si inaharibika taratibu na wakugharamia ni mteja, wanaotumia hizo simu wafuate company inachosema sio msimamo wa standard ya eu, wakati hiyo standard haifanyi kazi ipasavyo kwenye vifaa vyao(wameiruka) kama vipi wafungiwe
 
Haiwezi kuchemka ukitumia power delivery, hizo ni standard zimewekwa simu yoyote inayotumia power delivery iwe Samsung, iwe Tecno, iwe laptop, iwe desktop, kiwe kinanda as long as ni type C yenye power delivery charge zinaingiliana.
 
Haiwezi kuchemka ukitumia power delivery, hizo ni standard zimewekwa simu yoyote inayotumia power delivery iwe Samsung, iwe Tecno, iwe laptop, iwe desktop, kiwe kinanda as long as ni type C yenye power delivery charge zinaingiliana.
Wao wanatrack vipi hilo tatizo mpaka kuwaambia wateja wao wasitumie?
Wakati wewe unasema haina shida!
 
Wao wanatrack vipi hilo tatizo mpaka kuwaambia wateja wao wasitumie?
Wakati wewe unasema haina shida!
Bro nishaelezea huko juu vyote hivi soma comment zilizopita, Kuna standard nyengine ambazo sio power delivery, Kuna Vooc ya Oppo, Quick charge ya Qualcomm, rapid charge ya OnePlus, fast charging nyengine proprietary za kina Xiaomi, Motorola etc.
 
Mwenzio kaweka vitu technical wewe Porojo tupu......
Hoja hupingwa kwa hoja, sio maneno matupu.
Kama hujui ni vyema kukaa kimya.
 
Hakuna kitu umeandika. GSM arena sio conclusive, wapo reviewers wengi sana, dx omark etc etc, real life use ndio inasema kila kitu. Hakuna simu ipo practical kama pixel. Minazi zote ,nina iphone 15 pro, na pixel 8. Najikuta mara nyingi nahangaika na pixel zaidi. It is so enticing and addictive to use. Kwa battery nakubaliana na wewe na video tena kidogo tu. An average user wala hata notice the difference as 1 charge inatosha the whole day! Iphone is just overrated and boring. Yani nimenunua kwa trend kusema la ukweli na ni vile ina sync na Mac vizuri otherwise hakuna maajabu, bora mtu ata ukae na 13 yako. FYI display ya pixel ukiona ni kali zaidi. Achana na ma benchmark, real life use ndio kila kitu.
 
Wewe unasikiliza maelezo lakini wangine wapo field wana taste! Muheshimu sana chief Mkwawa kwenye hii field!.

Ingawa hujakosea kutoa maoni.
Bold. Na ipigiwe mstari. Ni amri[emoji23]
 
Ungesema kuwa wewe ndio unaipenda hiyo Pixel
Ila kusema Google Pixel 8 Pro ni kali kuliko iPhone 15 Pro Max huo ni uongo
 
Ungesema kuwa wewe ndio unaipenda hiyo Pixel
Ila kusema Google Pixel 8 Pro ni kali kuliko iPhone 15 Pro Max huo ni uongo
Sio naipenda, Aisee ata wewe ukianza kuitumia utakuwa drawn to pixel. Nimeanza kutumia iphone 3G 2008 Braza, mpaka tunapoongea, niliruka 5 na 6 tu, yani apple wa kutosha, ila sio kwamba pixel ni perfect ila user experience yake ni the best. Ata Mkbhd daily driver yake ni pixel, na sababu ipo. Yani hapa napo type tu haptics zake zinahamasisha.
 
Haya
 
Nunua pixel, hutojutia. Achana na blah blah za mitandaoni, nilianza na pixel 6, it was nice! Japo mitandaoni niliona watu kibao wanalalamikia bugs, binafsi sikuona shida, ila issue kwangu kiukweli ilikuwa ni battery life, nilikuwa naitumia sana kwahiyo nikawa naimaliza charge kila siku, japo haikuwa mbali sana na iphone 13 plain nliokuwa nayo wakati huo. Ila camera, sijui software, ui, team pixel is pretty good. Iphone tunanunua kama status symbol kwa wengi ila hatuziitaji hasasa bongo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…