Apple MacBook for sale

Apple MacBook for sale

Naunga mkono hoja,mm mwenyewe kuna mmoja alisema anarud kutoka marekan ana acer nootebook,nikampm akaniletea longolongo na sasa ameuchuna kabisa,mi natafuta mini laptop lakin cjapata bado wote wanaleta longolongo

hata mimi kuna kiazi alidai anataka htc smartphone,
nikam-PM kumwambia tufanye biashara, mpaka leo amepiga kimya!
Wanakera sana hawa watu!
 
Naunga mkono hoja,mm mwenyewe kuna mmoja alisema anarud kutoka marekan ana acer nootebook,nikampm akaniletea longolongo na sasa ameuchuna kabisa,mi natafuta mini laptop lakin cjapata bado wote wanaleta longolongo

Laki 4.0713656256
 
Weka picha basi ndugu, utauzaje mbuzi kwenye gunia?
 
mwanangu jamaa kama hajibu msg kwa simu yake wala kupokea simu unadhani atakuja jibu PM za huku au kureply hizi comments.
Weka picha basi ndugu, utauzaje mbuzi kwenye gunia?
 
Back
Top Bottom