Jamani changamkieni hiyo mashine, nende apple store ndio mtajua kuwa hiyo mashine jamaa anawapa bureEee.
4Gb ram, 750Gb ,3.66ghz DvD rewriter, built in webcam, bluetooth, wi-fi, wlan and inakaa na charge 6 hours bei ni 1,200,000/= MPYA KWENYE BOX get me on 0713079282
huyu jamaa hii mashine hana ndo mana analeta longolongo, me nimempigia simu asubuh eti analeta pozi za kupokea simu then baada ya kuongea nae na kumwambia nampa hiyo pesa nakuja mcheki tena hapokei simu wa kujibu msg.... watu wengine bana kama kitu huna kwann ujifanye unatangazatangaza.

Naunga mkono hoja,mm mwenyewe kuna mmoja alisema anarud kutoka marekan ana acer nootebook,nikampm akaniletea longolongo na sasa ameuchuna kabisa,mi natafuta mini laptop lakin cjapata bado wote wanaleta longolongo
true that mzazi wanazingua sana hawa jamaaMods naomba mtusaidie kitu kimoja kabla hamajaruhusu uzi kama pls tunaomba mconfirm kwanza kama hawa jamaa hivi vitu wanavyo sio watu tuhangaika kuwapigia simu hawapokei,kuna mwingine alikuja anauza iphone baada ya ku pm sana tu akapotea,sio vizuri kuwa na watu wababishaji humu
4Gb ram, 750Gb ,3.66ghz DvD rewriter, built in webcam, bluetooth, wi-fi, wlan and inakaa na charge 6 hours bei ni 1,200,000/= MPYA KWENYE BOX get me on 0713079282
Jamani changamkieni hiyo mashine, nende apple store ndio mtajua kuwa hiyo mashine jamaa anawapa bureEee.
shida ni kwamba je haina tatizo mkuu? Mana hzi second hand product zina shida
huyu jamaa hii mashine hana ndo mana analeta longolongo, me nimempigia simu asubuh eti analeta pozi za kupokea simu then baada ya kuongea nae na kumwambia nampa hiyo pesa nakuja mcheki tena hapokei simu wa kujibu msg.... watu wengine bana kama kitu huna kwann ujifanye unatangazatangaza.
Naunga mkono hoja,mm mwenyewe kuna mmoja alisema anarud kutoka marekan ana acer nootebook,nikampm akaniletea longolongo na sasa ameuchuna kabisa,mi natafuta mini laptop lakin cjapata bado wote wanaleta longolongo
Mods naomba mtusaidie kitu kimoja kabla hamajaruhusu uzi kama pls tunaomba mconfirm kwanza kama hawa jamaa hivi vitu wanavyo sio watu tuhangaika kuwapigia simu hawapokei,kuna mwingine alikuja anauza iphone baada ya ku pm sana tu akapotea,sio vizuri kuwa na watu wababishaji humu