Apple kuzindua iphone 13 leo

Mbona hawa jamaaa creativity hakuna tangu afariki Mzee Jobs mpaka leo Notch haiondoki inapunguzwa tu, kazi yao kuleta new bionic chips, iPhone 11 to 12 hawakuongeza betri sasa hivi wameongeza battery kidogo mambo ya kusema wanaongeza brightness by 28% yashatuchosha.

Ndio maana Samsung wana wamock wanasema wanaona De javu maana mambo yaleyale eti

Tutanunua hivyo hivyo….nasubiri ijumaa nifanye pre-0rder
 
Wadada tutafika mbinguni tumechoka sana

IMG_7009.jpg

Mzee anakusalimia
 
Back
Top Bottom