Apple iPhone X goes on sale today.

Bado upo nje ya nilichokuagiza, hapa naona kuna comparison ya editing software tu bila kuzingatia hardware comparison, rudi kwenye comments yangu usome tena
 
Bado upo nje ya nilichokuagiza, hapa naona kuna comparison ya editing software tu bila kuzingatia hardware comparison, rudi kwenye comments yangu usome tena
video ya kwanza ina same hardware, test imefanyika kwenye computer moja ya mac.

maelezo zaidi angalia description
 
hii hapa nilitegemea nipate jibu moja tu,Najua microsoft bidhaa zao zipo chini ningezitafuta
 
hii hapa nilitegemea nipate jibu moja tu,Najua microsoft bidhaa zao zipo chini ningezitafuta
si kweli kwamba microsoft bidhaa zao zipo chini, na hizo lumia alozotaja most of them zilikuwa designed na Nokia.

vifaa vya microsoft vyenye hio technology ni kama surface pro 4, surface book etc. goodluck kukipata chini ya milioni 2 hapa Bongo.
 
Nani ana iphone 4G mbayo ni locked aniuie?
Ikiwa nyeupe itakuwa bomba sana .
Sio 4s, nataka 4G
 
1.Mac zipo stable sana katika ufanyaji wa kazi kuliko madirisha computers.
2.mac inakuja ikiwa tayari software za muhimu zipo installed kama Microsoft office n.k ila kwenye dirishani kule unakuta solitare na ujinga mwingine.
3.Virus huku kwenye mac ni kama kuona chura aki jump backward tofauti na pc, kwanza pc zina virus wa kila namna,virus anakula kuanzia .dll files mpaka charge,sasa huyo ni virus au!!! kinachofuatia hapo ni ku-restart tu ukiona inachelewa una bofya ile button ya power,pyaaaa ngoma inazima unawasha tena,una uninstall, una install,ukishaona umechoka virus wametapakaa kila mahala unatafuta kale ka cd kako ka windows 7 cracked unainstall windows upya kwa ku format local disk c na kusahau kuwa kuna virus kama 999 wapo local disk d.
Basi ukisha maliza pale unakaa tena kamwezi unapiga windows yako fake mambo yanakwenda.
4.Kingine jamani ni trackpad gestures za mac that's why tunaona trackpad za mac ni kubwa yaani pale unaweza zoom,drag and drop, na kila aina ya gestures tazama---------Use Multi-Touch gestures on your Mac

Mwisho kabisa namaliza kwa kusema kwamba ushabiki tuuache,watanzania wengi tunakimbilia hizi pc sababu ya uchumi tu,tena ukisha nunua ka pc kako unatafuta na kawindow fake ka sh 5000,na tu software tulito outdated kama vlc media player.

mambo ya windows hayo.
 

Magic mouse ni kitu kingine , bado touch bar ambayo ukiachana na watu wa kawaida , pia watu wa studio wanaihitaji sana. Wakati Apple wanaongeza value kwenye vifaa vyao wengine wanaongeza Ram kila siku hicho ndo wanachokiweza yet wanategemea wapate wateja ..

 

Mkuu nipe mrejesho wa Oled ya iphone X na Oled nyingine , ushaijua tofauti?
 
Mkuu nipe mrejesho wa Oled ya iphone X na Oled nyingine , ushaijua tofauti?
-tukitoa hao display mate, vyanzo vyangu vyengine havijareview ila vya kudokoa dokoa online.

1. iphone x oled yake ina tatizo la bluish tint unapoi tilt na kuview kwa angle, cha ajabu hii imeanza kusemwa na Apple wenyewe na site kibao zimeconfirm sijui jamaa zetu wa display mate hawajaiona?

Apple: OLED tech is to blame for the iPhone X display looking blueish when tilted

2. burn in
pia kwa matumizi ya muda mrefu kuna risk kubwa ya pixel kuungua na kuleta pixel ambazo haziwaki (zisipowaka zinakuwa nyeusi kwenye oled)

iPhone X OLED display burn-in explained

vyote hivyo vinapatikana kirahisi kwenye flagship mpya za samsung, hizo burn in na bluish tint. so mpaka sasa hivi tunajua kwa kiasi kidogo whats going on.
 
1. screenshot ya windows xp, mwaka gani huo? wengi hata hatujabalehe unaileta 2017 kuprove point yako?
2. pc za windows 10 zinakuja na mambo kibao pamoja na mfano hizi 2in1 zinakuja na office tena buree, na nyengine zina offer ya mwaka mmoja ya office 365 yenye thamani ya zaidi ya dola 100, ila sidhani kama hizi bloatware (app zinazokuja na kifaa) ni nzuri, hili ni jambo baya.
3. virusi again sio xp, mimi nina win 10 na defender mwaka wa 2 huu sijui kitu kinachoitwa kirusi, na Mac pia zina virusi sio 100% safe, japo ni kidogo
4.hio trackpad again ni mambo ya kale, windows 10 zina touchpad kubwa tu na gestures nyingi pengine kuliko mac, na windows 10 ina touch sasa hivi watu wanatumia tu kalamu mambo creative na kalamu ndio penyewe wakati mac bado mpo kwenye touchpad.
 

Mkuu umeleta tu link kibao kama kawaida yako , issue ilikuwa kutoa ulinganifu wa OLED ya iphone X na hao wengine , nilitaka ujikite kwenye improvement ambayo imefanyika siyo kuja na link za critics hazisaidii..

Hizo weakness zote ulizosema ni weakness za kutumia OLED, general weaknesses na apple kwa kuwa wanajali huwa wanasema straight away hawafichi . Hata hizo link ulizoweka mfano phonearena wamesema kabisa kwamba “thats inevitable side effect of having LED”. Ila wewe kwa kuwa huwapendi apple unataka kusema ni weakness ya iphone x which is totally wrong.

Labda niulize tena swali kwa njia nyingine , je umeshaona improvement waliyofanya apple kwenye upande wa OLED ?

Chini hapa ni screen shot ya mpjawapo ya link ulizoweka hapo juu

 
improvement/weakness ya display ya iphone x ni calibration. kwenye iphone ipo automatic na according ya hao displaymate ni kwamba inaonyesha rangi nzuri,

kwanini inaweza kuwa weakness hio? sababu kwenye android zipo setting za kufanya manual calibration, unaweza ukaset unavyopenda wewe. mfano hujapenda namna samsung walivyoseti display



cha muhimu subiria hizo source zangu then wakiwa sawa tutajua kama ni nzuri kushinda nyengine,

na kwanini unasifia display? sababu jinsi display ya iphone x ikiwa nzuri ndio samsung anavyokula credit nyingi, calibration ni kitu kidogo tu kama ni display ya RGB kwenye value ni uamuzi tu wa nyekundu/kijani/blue iwe nyingi kiasi gani.
 
hii hapa review ya gsmarena, na display ipo page ya tatu

Apple iPhone X review

hapo vitu vya kunote.
-iphone x ni brightest oled panel ila still ipo behind lcd, mfano Nokia 8 hapo ni more brighter kuliko iphone x. ina 625 nits (kama walivyosema apple) na 679nits kama walivyotest gsmarena
-color accuracy ni one of the best ila still ipo behind iphone 8+
-inatumia arrangement ile ile ya diamond pentile matrix kama kwenye samsung galaxies
-pia wameonyesha si kweli kwamba kioo chake ni 5.8" sababu sehemu nyengine sio usable, ukipima sehemu usable ni 4.96"

kwa hio mkuu ukisoma nondo hizo za gsmarena unaona jamaa ambavyo sio bias.

kaangalie site nyengine sasa kama watasema iphone x haina rangi nzuri kama iphone 8.

tusubirie na anandtech, wao ya kwao inataka time kidogo sababu wanaingia deep zaidi.
 

Hapa nakukatalia mkuu.

Nimetumia zote, Macbook Pro na HP devices.

Kuna utofauti mkubwa sana kwenye performance, durability and battery endurance.

Unless ufananishe Macbook Pro na HP Work station.
 
Hapa nakukatalia mkuu.

Nimetumia zote, Macbook Pro na HP devices.

Kuna utofauti mkubwa sana kwenye performance, durability and battery endurance.

Unless ufananishe Macbook Pro na HP Work station.
HP ipi mkuu na macbook ipi? bila kuvijua hivyo siwezi ongea chochote, je kama ni macbook yenye i7 7th generation na HP yenye i7 1st gen ni lazima moja ionekane ina nguvu.
 

Mkuu mimi sitaki unafki na u fan boy , hapa nakuwekea snapshot za hao gsm arena na displaymate ambao ulisema unawaamini kwenye tech review na ukasema hawana bias .. Wao wameenda mbali kwa ujumla wanasema hawajawahi kupata matokeo kama wanayoyapata kwenye iphone X .Kwa kifupi wanasema ni the best ever made kwa kuangalia combination ya vitu vingi .

Gsm arena


Gsm arena tena


Displaymate wamesema hivi


Displaymate tena hapa ndo wameua kabisa


Hapa wakamalizia,


Sasa chagua kubishana na watu uliowaamini , at the same time rudi sokoni angalia mauzo na Demand za iphone X zinasemaje , yan kwa kifupi customers wame respond vipi
 
kwanini mnapenda kutumia hoja zisizo na mantiki? unashabikia simu au mauzo? je iphone ikiuza sana does that mean display yake ni bora zaidi? rudi kwenye hoja usilete vitu visivyohusiana na mada.

mkuu hapo juu nimeandika mambo mengi kuhusu gsmarena hebu tuyarudie kidogo

-display ya iphone x ni brighter kuliko oled/amoled/poled display yoyote ile sijakataa, na kwenye oled ikiwa brightness ni kubwa means utakuwa na contrast ratio kubwa zaidi aka infinity sababu tayari kwenye black ni zero, kama umesoma hesabu utakuwa unafahamu unapogawanya kitu kwa ziro jibu ni nini. na hapa brightness ni ukicompare na oled wenzake, kikawaida lcd panel ni bright zaidi kama umeangalia hapo Nokia 8 ni more bright ina nits zaidi ya 700 na legendary Nokia 808 alifika hadi nits 1000 (mwaka 2012)

-unajifanya sio fanboy halafu ukaenda ukapick kasehemu kazuri ambapo wanasifia ukaleta screenshot hapa, kwanini hujaleta sehemu wanakandia ukubwa wa screen? kwanini pia hujaonesha sehemu wanayosema rangi zake sio accuracy kama iphone 8?

according to display mate wametuaminisha kwamba iphone x ni display ambayo ni accuracy zaidi kupata kutokea, ila site nyengine kama hio gsmarena wamepata tofauti, rangi zake ni nzuri na wameisifia ni one of the best, ila sio best on market kuna ambazo zinaonesha rangi asilia zaidi.

na siku zote muda ni mwalimu mzuri, sasa hivi display za iphone x zinaanza kukubwa na mstari, report mbali mbali duniani watu wanazirudisha kwa Apple.







 

Mkuu bado hujasoma vizuri , hata hao gsm arena wamesifia, leta snap wanposema imezidiwa kwenye accuracy , snap weka hapa,

Angalia gsm walivoongelea accuracy ya iphone x , na conclusion waliyofanya


Hawa ni gsm arena mkuu



Kwa kifupi wote wanasema ni best display ever , hiyo ni baada ya kuunganisha factor zote.

Nimekwambia mambo ya soko kwa sababu customers ndo wana judge quality , na niliweka pale kumaanisha kwamba ukiachana na watu technical walioikubali iphone X pia customers wame respond the same way.

Kifupi ni bora kuliko simu zote, gsm na displaymate wame conclude hivo. Leta site nyingine unayoiamini hawa wamekukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…