Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,264
- 44,393
haya mkali kushinda wikipedia simu sio computer, mada hii iishie hapaNani kakuambia mobile device ni computer?mobile maana yake ni kitu kinacho move au kinaweza hamishika inaweza kuwa gari au vinginevyo.
Ndio maana mpaka hadi kuna mobile ambulance na n.k. kwa hiyo usinidanganye kuwa mobile device ni computing device kisa Wikipedia wamekudanganya huko ndio uanze kunidanganya na mimi.
Device sio lazima iwe electronic pia yaweza kuwa mechanical,ndio maana kuwa specific Zaidi ndio maana unakuta mtu anasema electronic device.
Kama hujui sasa ki utaalamu wa lugha hata kinanda kama kinabebeka ni mobile device.
Twende kwenye mada.
Narudia tena kusema kuwa hata siku moja simu haiwi computer bali itawekewa feature za computer ila kazi yake ni kupiga na kupokea vingine vyooote ni vya ziada tu.
Hizo os na ram ni baadhi ya feature za computer.
kuna saa na simu yenye saa.
kuna camera na simu yenye camera.
Kuna computer na simu yenye baadhi ya feauture za computer.
Kuna mpaka simu zinapima heart beat rate.
Kuna simu zina projector.
Kuna radio na simu zenye radio.
Kuna kibiriti na simu yenye kibiriti.
Nadhani umenielewa vizuri.
Mathematicallyy.
simu=computer......eqn(1)
Lakini computer sio simu ukisema desktop ni simu kapimwe akili kwa hiyo itakuwa.
computer =/= simu.......eqn(2)
Nadhani unaona kabisa eqn 1 na eqn 2 zinapingana kwa kawaida ya math lazima eqn ikubali side zote left and right.
mfano.
2+1=3 EQN1
3=2+1 EQN 2
unaona hapo juu imeleta kabisa mathematically.
Kwa hiyo mkuu unachosema hesabu imekataa na kama hesabu imekataa means ni uongo na kama ni uongo basi math never lie.
Jibu la swali lako kinachofanya simu iprocess hizo kazi ni baadhi ya feauture za computer ilizonazo ila sio kwa sababu ni computer.
Kinachofanya simu kupiga picha ni baadhi ya feauture za camera ilizonazo ila simu sio camera.
thanks.
Nimekueleza kabisa kuna hp za leo leo zina laki saba, kwa hiyo sidhani ni vyema kuwapambanisha na akina apple wanaokuja na ssd,core i na 16gb of ram ya ddr4 na retina display
Weka sasa hp flagship hap[o vs mac.
Licha ya Microsoft kutangaza wanapanda kimauzo na kimapato kwenye surface pro ila wana safari ndefu.
Halafu unapaswa kujua biashara siku zote haipandagi tu pia inashuka kwa hiyo usiniambie kwamba soko la apple tablet kushuka tuuuu hiyo hakuna apple wana monitor soko na kupambana Zaidi.
Soko la surface pro kupanda sio litapanda miaka yote bali kuna kushuka lakini kupanda kwake na kushuka hawawezi kufika kwa apple.
Kwa hiyo Microsoft wanapambana na hali zao.
Wanatia mpaka huruma.
Itachukua miaka mingi kuwafikia apple , Hii ipad pro ambayo ni latest ina iutperform mpaka macbook zao , na hicho ni ki ipad tu , ile ipad ina pro-motion feature ambayo ni refresh rate ya 120 badala ya 60 kama vifaa vingine , kwa kifupi hamna device yenye precision wakati wa kutumia pencil kama ipad , achana na app zilizojaa kwenye App Store , hamna decive yenye screen nzuri ka hiyo ipad na inahitaji kuishika na kuitumia ndo mtu unaelewa maana ya pro motion , sasa mtu akija na specs za kwenye karatasi anahisi ipad ni sawa na surface
hata hii OLED waliyoweka kwenye iphone X kwa haraka haraka imeonekana kama wamechukua LED zilizozoeleka lakini jamaa wamefanya kitu tofauti na madhaifu ya LED za wengine wameyafuta .
iPhone X OLED Display Technology Shoot-Out
sasa nani katengeneza thunderbolt? si intel? kama unataka thunderbolt zipo laptop kibao zina thunderbolt huku kwenye windows, na tena huku zinatumika kweli kweli sababu ukisikia hizi gpu za nje zinazotumia thunderbolt zimeanzia windows.Hebu pelekeni virus zenu huko huu ni ukosefu wa nidhamu kabisa kwa MacBook yaani uilinganishe mac na hiyo dell?
Unafikiri kisa hiko ki core i7 na ddr4 ndio uitishie mac?thubutuuuuu!!!!!
Pelekeni hilo toy lenu huko linalounguruna fan kama generator na kuchemka kama jiko,specs hazitoshi kuelezea performance ya hizo device.
Usidanganye watu humu hiyo dell inam outperform mac kwa sababu unafahamu mac ni adimu watu wengi hawana.Samsung na specs zake za juu huwa anakaa kwenye dual core ya iPhone na 1gb ram sasa usidanganye watu humu hizo laptop zinazo miss driver kila siku kwamba ni best sawa?
Naongea kama mtu niliyetumia MacBook na hizo toy zenu za windows ambapo ikifika usiku uliotulia unasikia pc inaunguruma fan kama fridge.
Mac ina design nzuri sana ya kuvutia pia mac vitu kama thunderbolt je hio dell inayo nina transfer Zaidi ya 20gb/s file can you?Tena sasa wana thunderbolt 40gb/s file transefelinganisha na hilo toy lako.
Ukiniwekea core i5 ya dell na dual core ya mac nachukua mac.
Kama zinatumia zote windows basi hiyo dell itaishinda mac.sasa nani katengeneza thunderbolt? si intel? kama unataka thunderbolt zipo laptop kibao zina thunderbolt huku kwenye windows, na tena huku zinatumika kweli kweli sababu ukisikia hizi gpu za nje zinazotumia thunderbolt zimeanzia windows.
na core i7 ni i7 tu, zote dell na macbook zina i7 7th gen quad core hivyo perfomance yake ni sawa kama hujui uliza usitegemee eti kwenye mac iwe faster mtengenezaji ni mmoja intel hao dell na Apple ni wateja tu.
yah sababu fans wa Apple mnajulikana kwa jina maarufu kama mazombie sitashangaa ukiacha quadcore na kuchukua dual core huku moyoni ukifikiri ipo faster hio dual core.
kama una ushahidi lete hio dell ipo slow kuliko hio mac.
mkuu inaitwa osx sio iosxKama zinatumia zote windows basi hiyo dell itaishinda mac.
Lakini kuna pasua kichwa iosx.
Nashukuru mwishoni hapo umekuja kwenye point yangu kuwa inategemeana unanunua pc ili ifanye nini, kwa wale video editor, graphic rendering na mambo yanayohitaji mikiki mikiki mikubwa Mac ndo mahala pake, when you buy Apple device you don't buy hardware specs but you buy software optimisation experiencemfano ngoja nimsaidie hii laptop ya around $700 tegemea na configuration inaweza zidi kidogo, inaitwa
Dell Inspiron 15.6
https://goo.gl/XQqcJc
unapata nini na nini?
-i7 au i5 7th gen quad core sio hizi dual core za laptop za kawaida
-ram kuanzia 8gb ddr4(inaongezeka)
-nvidia 1050 ti
-ssd atleast 128gb(unaweza eka unayotaka)
-HDD 1tb
-Kioo full HD
ukija Mac ya dola zaidi ya 2000 ina
https://goo.gl/nq6urQ
-same cpu i7 quad
-ram dhaifu za ddr3 16gb
-gpu dhaifu ya Radeon Pro 560
-ssd kubwa zaidi na pengine yenye speed ya 512gb
-kioo zaidi ya full HD
hapo ukitaka mfano 2TB ssd na ram zaidi inafika dola 4000 hio mac
perfomance wise hio dell ya dola 700 inamkimbiza huyo mac wa dola 2000, na kila kitu kwenye dell kinaongezeka kasoro display. na gaming au video sidhani kama utahitaji zaidi ya hio 1080p unless unafanya proffesional graphics na image editing, na pia kwa pro kioo cha macbook ni 8bit tu, kina rangi bilioni 1 siku hizi watu washahamia kwenye 10bit makumi ya bilioni.
mkuu even hizo software si kweli, hebu nitajie mfano mimi ni na edit picha au video kitu gani nitamiss nikiwa na pc?Nashukuru mwishoni hapo umekuja kwenye point yangu kuwa inategemeana unanunua pc ili ifanye nini, kwa wale video editor, graphic rendering na mambo yanayohitaji mikiki mikiki mikubwa Mac ndo mahala pake, when you buy Apple device you don't buy hardware specs but you buy software optimisation experience
Hapa unadanganya watu ambao hawajawahi kutumia mac na pc, kwenye video editing ukichukua mac yenye specs sawa na pc kwenye video rendering mac itaiacha pc mbali sana unless zote zitumie windowsmkuu inaitwa osx sio iosx
hebu niambie kisayansi kwanini game li run vizuri zaidi kwenye osx, os ambayo hata basic api za games kama directx 12 na vulkan hazipo vizuri inategemea vitu kama open gl?
na hata creative works kama video editing na graphics hakuna utofauti zikiwa ni same hardware kuna mamia hya video nitakuekea kama unataka uone
angalia hii video ikutoe ushamba kidogo
Hutamiss kitu but time wise huwezi kufanana na mtu wa mac, kama mnafanya video editing ya aina moja tarajia atasave mda mwingi kuliko wewe wa pcmkuu even hizo software si kweli, hebu nitajie mfano mimi ni na edit picha au video kitu gani nitamiss nikiwa na pc?
si kweli mkuu, mac siku hizi inatumia quicksync, mpaka software zake kama final cut zinatumia quicksync.Hapa unadanganya watu ambao hawajawahi kutumia mac na pc, kwenye video editing ukichukua mac yenye specs sawa na pc kwenye video rendering mac itaiacha pc mbali sana unless zote zitumie windows
Sizungumzii software za editing, nazungumzia optimization ya OSX kufanya kazi na hizo software , hebu nitumie link ya youtube ambayo inaonesha mac na pc zenye same specs na same software za editing halafu kwenye video rendering zipo sawasi kweli mkuu, mac siku hizi inatumia quicksync, mpaka software zake kama final cut zinatumia quicksync.
nani mmiliki kwa quicksync? ni intel, je quicksync ipo windows? ndio ipo lakini haipo kwenye adobe.
ukilinganisha adobe premiere na final cut kwenye render final cut itakimbiza kwenye same specs sababu ya quicksync.
ila ukitumia software ya quicksync kama vile cyberlink powerdirector basi ujue muda utakuwa ule ule.
kuna video kibao mkuu zipo youtube kaangalie, ziwe video za karibuni.
ukitaka pia nitakuekea hapa, hizo ni myth tu kusema mac ni bora kuliko windows pc.
anza na hii haina ushahidi sana ina namba tu hajaonyesha testing yake vizuri ila utapata pichaSizungumzii software za editing, nazungumzia optimization ya OSX kufanya kazi na hizo software , hebu nitumie link ya youtube ambayo inaonesha mac na pc zenye same specs na same software za editing halafu kwenye video rendering zipo sawa
ok mkuu hii hapa more detailedSizungumzii software za editing, nazungumzia optimization ya OSX kufanya kazi na hizo software , hebu nitumie link ya youtube ambayo inaonesha mac na pc zenye same specs na same software za editing halafu kwenye video rendering zipo sawa
tunakuja kwenye quicksync sasaSizungumzii software za editing, nazungumzia optimization ya OSX kufanya kazi na hizo software , hebu nitumie link ya youtube ambayo inaonesha mac na pc zenye same specs na same software za editing halafu kwenye video rendering zipo sawa
sijakuelewa, unaweza quote unapomaanisha?Chief ulisema utakuwa mtazamaji,huku kote ni kumetokana na kutokuwa na jibu moja tu ndio au hapana,.
kama ni mtihani nisingesoma mauwezo yako yote, lakini mwisho ninge ka ta.
Ulichokileta ni tofauti na nilichokuagizatunakuja kwenye quicksync sasa
hii ni version ya zamani ya quicksync toka gen ya 3 lakini unaona nvidia (CUDA) na cpu rendering ambavyo zimeachwa mbali na quicksync.
hii ni post ya tatu ambayo ni kama nyongeza, post ya kwanza na ya pili inayoonyesha premiere pro kwenye mac na windows na windows ikiwa faster zaidi hujaziona?. serious mkuu?Ulichokileta ni tofauti na nilichokuagiza