Apple iPad Vs. Samsung Galaxy Tab Vs. ViewSonic G Tablet Vs. Dell Streak | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Apple iPad Vs. Samsung Galaxy Tab Vs. ViewSonic G Tablet Vs. Dell Streak

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by X-PASTER, Dec 27, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Apple iPad Vs. Samsung Galaxy Tab Vs. ViewSonic G Tablet Vs. Dell Streak

  Click Here

   
 2. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Apple ipad is the bomb!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kivipi mkuu!?
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Everything should be as simple as it is, but not simpler.
   
 5. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  nimependa specifications za apple Ipad zaidi. 1024 x 768 px. lakini ata hiyo pc imetulia na nafkiri bei itakuwa reasonable.

  Ila swali langu:

  Binafsi nafikiri biashara sasa ivi inaangalia technologia ya Apple. Makampuni makubwa yote yanafanya kitu kimoja tu Copy au kuibadilisha kidoogo kutoa kwa Apple.
  Apple wanakuja na wazo(idea) halafu unakuta baada ya mda machizi yanatoa vitu vinavyofanania na Apple. Tumeona Iphone miaka 2007, baadae tukaona vitu vilivyokuja kujitokeza vikifanania idea ya iphone. Iliyojitahidi sana kwa karibu na Iphone ilikuwa (kwa mawazo yangu) Samsung…wakajikita-kita na wamekuja sasaivi na Galaxy S. katika kipindi cha mwaka mzima Apple walibaki na model moja tu "iphone" hawa wengine wanatoa model nyingi ndani ya mwaka mmoja ( yaani kuiga-iga tu hiyo Iphone)
  Hivyo hivyo kwa Applestore wakaja wengine na idea hiyohiyo ila majina tofauti.
  Mwaka huu imekuja IPad heheheee tumeshaona copy za hiyo idea tofauti-tofauti .. aPad, na kwa hawa jamaa wa RIM wametoa Playbook. Baadaetutasikia NEC na wengineo wakifuatia.
  Hivi inamaa na haya makampuni makubwa kama Nokia, Samsung wana mission moja tu? Kuwafuata-fuata Apple??? Basi kwa ujumla Apple ndio kiongozi wao??? Itatokea nini kama Apple watasimama? Inamaana hawa Nokia Samsung, Dell Sonyerricson ( xperia10) wataacha kuja na vitu watakavyobuni wenyewe???
   
 6. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Apple ndio wa kwanza kutoa tablet,hao wengine kazi yao ni kuiga tu and always vitu vya kuiga sio vizuri plus ipad ina better touch experience kuliko hizo zingine
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ujue apple tolea lao lilipendwa sana na haya makampuni yakahofia kupoteza wateja ikawalazimu kuiga kutoka apple kwani ndio alotangulia kutoa tolea so wao wanajaribu kuboresha kidogo lakini badoo alotangulia katangulia tu
   
 8. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sababu ya kuiga apple ni pale apple walivyo toa iphone for the first time na watu wengi waliipenda because mostly of the amazing touch kwahio hawa wengine wakaiona apple as a threat to them wakaanza kuiga iga kutengeneza vitu touch vinavyo fanana na the iphone eg nokia 5800,n97,google android but all in all hakuna gadgets zenye best touch kama za apple hawa wengine wanajisumbua kuiga apple instead they should come up with their own creative and unique ideas.
   
 9. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  lakini pia hata apple wameiga blackberry instant messeging sema ya apple iko tofauti kigodo
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nadhani si kweli kuwa apple ndio kampuni ya kwanza kutoa tablet. Unajua kuwa kampuni ya Microsoft mwaka 2001 wali-lauch tablet?

  Hii idea ya tablet ilianza kwanza kama electronic handwriting tablet na ilijulikana kwa jina la Telautograph, mwanzilishi wake anaitwa Elisha Gray mwaka 1888. Baadae ikaja Stylator katika 1957. Na mwaka 1964 ikaja kitu kinacho julikana kama RAND Tablet au the Grafacon...Baadae miaka ya 80's kukaja kitu kinachoitwa ID (Intelligent Digitizer) na BitPad ambayo ilitengenezwa na kampuni inayojulikana kwa jina la Summagraphics Corp . Wale watumiaji wa AutoCAD, watakuwa wanaifahamu hii kitu.

  Baada ndio Apple wakaja na KoalaPad. Elewa kwamba ni makampuni mengi yameweza kutengeneza tablet kabla ya Apple kuja na Ipad mwaka 2010. Mfano mmoja wapo ni kampuni ya Asus ambao walikuja na tablet netbook, ikijulikana kama EEE PC T91 na T91MT, ambayo ni multi-touch screen. Kabla ya Apple ku-launch Ipad, kuna kampuni moja inaitwa MobileDemand wao walikujana toleo lao la mwaka 2010, kwa jina la xTablet T7000, tablet ambayo ina run full Windows OS ikiwa na integrated numeric keypad, bar code scanner, credit card reader na mambo kadhaa wa kadhaa.
   
 11. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu kampuni ya kwanza kutengeneza smartphone ni IBM mwaka 1992, toleo lao liljulikana kwa jina la Simon... Hii simu ilikuwa na calendar, address book, world clock, calculator, note pad, ilikuwa na uwezo wa kupokea na kutuma e-mail na fax, vile vile ilikuwa na game. Baada wakafuatia Nokia na simu yao ya Nokia 9000, ambayo ilitolewa mwaka 1996. Baada katika mwaka 2000 Ericsson walitoa touchscreen smartphone R380, ikafuatia na P800 mwaka 2002, hii ilikuwa ndio simu (smartphone) ya kwanza kama sikosei kuwa na camera... Apple wao kwa mara ya kwanza kabisa wali-introduced simu yao ( iPhone) mwaka 2007.

  Vile vile kuna kampuni moja ya Canada ijulikanayo kama RIM (Research In Motion Limited), Mwaka 2002 walitengeneza smartphone (BlackBerry smartphone) ambayo ilikuwa na uwezo wa ku-access wireless email.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu sidahni kama apple kuna kitu wanakuwa wa kwanza kukianzisha sema wao marketting strategy yao ndio kali wamewazidi wengi

  simu za touch screen zilikuwepo hata kabla apple hawajotoa iphone chekini simu kama za HP ipaq. Nimeziona bongo toka mwaka 2002
   
 13. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Possibly apple ndio wa kwanza kutoa the first great tablet computing device
   
 14. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Najua kwamba apple iphone is not the first touch smartphone lakini touch phones were not that popular but tangu the release of the apple iphone ndo touch ikawa dili na makampuni mengine yakaanza kutoa more touch phone kwasababu watu wengi walikuwa wanaikimbilia iphone kwahio makampuni mengine wakawa na hofu ya kupoteza wateja pia sababu kuu ya iphone kupendwa ni ile touch yake inakubali finger print tu yani huwezi kutumia kijiti kama simu zingine na inavutia zaidi
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe lakini kwangu zaidi marketing strategy yao ndio inawasaidia.

  Sioni kama apple wana kitu tofauti sana. Wanapowapigia bao competitor wao wengine ni kwenye marketting strategy. Wamefanikiwa kutengeza image ya brand zao na wana Wanawaaanda wateja. nkutangaza kabla hawajotoa kitu

  Ukicheki au kusoma jinsi Iphone ilivyoingia sokoki ndo utajua namaanisha nini. Watu walianza ku order simu hata hawajaziona. Kampuni za simu nchi fulani zikachukua exclusive right ya kuwa msambazaji wa kwanza wa iphone kwa muda fulani.

  Bado kwangu naona Apple wana vichwa vikali vya marketting. wanaweza kuwauzia watu mchanga kama sukari. vitu wanavyotowa vinakuwepo tayari tofauti ni marketing approach
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Si kweli maneno yako. Mauzo ya bidhaa za Apple ukilinganisha na Microsoft, Apple wanaachwa mbali sana...!

  Mimi binafsi nimetumia sana Computer za Apple, ni nzuri na hazipati Virus, na program zake ni nzuri haswa kwenye masuhala ya Media. i.e uhakiki wa filam (video editing), uhakiki wa sauti (audio editing) na vitu kama hivyo...! Tatizo linakuja kwenye bei na upatikanaji wa baadhi ya program. Microsoft wana program nyingi sana kulinganisha na Apple.

  [​IMG]
  To be a little more specific, here’s a graph that illustrates which operating system versions are most popular in the market share.  [​IMG]


   
 17. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #17
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kuwa microsoft wanauza zaidi kuliko apple upange wa operating system lakini kwenye upande wa tablets ipad is the number one selling tablet in the world na pia mimi sijaongelea operating system nimeongelea tablet
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa Apple si walishitakiwa wakati fulani na NOKIA kwa kuiba?

  Ila sipo kwenye nafasi ya kusema waliiba nini.

  Kwenye simu nafikiri watu wengi wanatumia NOKIA hasa hizi N900 au N97 kwa kwazi zao wakiwa safarini.

  Ukweli ni kuwa dunia hii, kuna aina ya Suti inabidi mtu uvae ili uitwe una Swagger. Unaendesha gari ya aina fulani, kuishi eneo fulani (USA sasa hivi ni Miami maana wote wanahamia huko) ................. na mwisho uwe na APPLE.

  Nakubaliana na wanaosema kuwa APPLE wameweza kuwapata wale wote wanaotaka kujionyesha kuwa wako high class. Ndiyo maana kwa sasa dunia nzima, vitoto vya kike vya Secondary vinashindana kuwa na APPLE product. Vingi vinaanza ngono mapema ili tu vipate hela ya kuwa na APPLE. Kwa hilo hawa jamaa kwa kweli wapo juu sana. Utakuta watu dunia nzima wameshaanza kuzungumzia ni lini Mzee wa golt Tshirt Nyeusi, Jean isiyo na Mkanda na raba aka Steve Jobs atatokea na kifaa mkononi. Huyu jamaa ni GENIUS.

  Nafikiri kitu kingine kinawasaidia hawa jamaa ni kuwa hawana Products za bei rahisi. Ukiona Nokia mpya hujui bei yake ila ukiona APPLE, unajua kuwa bei yake ni Moto.

  Inanikumbusha miaka ya 90, watu walikuwa wanaachaniza familia zao na hela ya Mshahara anaipeleka kununua AIR JORDAN yenye AIR PUMP. Wengine Tanzania walilipa hela mbaya ili wanunue Jacket ya Michael Jackson Thriller. Sijui hii kitu itaisha lini.
   
 19. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nokia files patent infringement complaints against Apple in the UK, Germany and the Netherlands
  December 16, 2010

  Espoo, Finland – Nokia announced it has filed claims in the UK High Court, Dusseldorf and Mannheim District Courts in Germany and the District Court of the Hague, Netherlands, alleging that Apple infringes Nokia patents in many of its products sold in these countries, including iPhone, iPad and iPod Touch.
  "These actions add 13 further Nokia patents to the 24 already asserted against Apple in the US International Trade Commission and the Delaware and Wisconsin Federal courts," said Paul Melin, vice president, Intellectual Property at Nokia. "The Nokia inventions protected by these patents include several which enable compelling user experiences. For example, using a wiping gesture on a touch screen to navigate content, or enabling access to constantly changing services with an on-device app store, both filed more than ten years before the launch of the iPhone."
  Nokia's filing in the UK covers 4 Nokia patents related to touch user interface, on-device app stores, signal noise suppression and modulator structures.
  Nokia's filing in Dusseldorf, Germany covers 7 Nokia patents related to touch user interface, antenna structures, messaging functionality and chipsets.
  Nokia's filing in Mannheim, Germany covers 5 Nokia patents related to on-device app stores, caller ID, display illumination and the integration of multiple radios.
  Nokia's filing in the Hague, Netherlands covers 2 Nokia patents related to signal noise suppression and data card functionality.
  None of the asserted patents have been declared essential to any wireless communication standard.
  During the last two decades, Nokia has invested approximately EUR 40 billion in research and development and built one of the wireless industry's strongest and broadest IPR portfolios, with around 11,000 patent families. Nokia is a world leader in the development of handheld device and mobile communications technologies, which is also demonstrated by Nokia's strong patent position.
  From: Nokia accuses Apple of infringing 13 more patents - SlashGear
   
 20. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #20
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ungeweka basi hata chart ya mauzo yao agaist other tablets.
   
Loading...