Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,251
...kang acha kutumia talking points za ant Apple,tumeziona sana all over the net,kubali tuu Apple wako kwenye league ya peke yao kuanzia Mac,Iphone,Ipod etc hakuna comparison hapo sijui kama una experience na product zao nina uhakika ukitumia computer zao hutatoka tena,na kumbuka hii itakuwa first generation Ipad kwa hiyo upgrade na improvements zitafuata tuu,na nani anahitaji flash or USB nilichoona kina miss labda ni multitasking lakini sio big deal maana still naweza kutumia itune na mengine yanaendelea
Kama ni league ya kutengeneza devices zisizokuwa na functionality ya maana basi sawa wako kwenye ligi nyingine. Eti Multitasking sio big deal! Excuses excuses. iPad is useless.