Apple app store omertà nanga anga za Bongo

Apple app store omertà nanga anga za Bongo

i411

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
906
Reaction score
297
Haya jama wabongo apple app store ndo hiyo imetia nanga sasa wale wanaofanya uzinduzi wa mambo ya apps haraka haraka tuanze kutengeneza tuiweke Tanzania kwenye rada ya apple. Kitu kingine sasa tufanye mpango tumuandikie steve jobs na vigogo wa apple watufungulia duka kabisa hapa bongo. Tusiendelee kununua bizaa zao kwa bei ya kifisadi. Wakitufungulia duka hapa Tanzania litakuwa la kwanza east Africa na litakuwa kivutio pia. Sasa tuanze hii kampeni apple fungua duka Tanzania. Juzi tumeweza pata ukurasa wetu wenyewe kwenye forum ya kimataifa skyscrapercity lolote lawezekana. Na mwenye namba ya JK amwambie safari nyingine akienda US aongee na mzee steve job alete duka bongo. Sent from Iphone
 
Wakija kufunguwa hapo bongo Apple Store je tutaweza kununuwa vitu vyao hao Apple Store? hii ni bei ya Amerika Tanzania itakuwa mara mbili ya hii

Home

  • 1-800-MY-APPLE
Search Store

  1. Home
  2. Welcome to the Apple Store

Fast, free shipping on orders over $50.

[h=2]Staff Picks[/h]

  • G-Tech 500GB G-DRIVE Slim...
    stars_61x13_bluonwht_40.gif

    $99.95
  • mophie Juice Pack Air for...
    stars_61x13_bluonwht_40.gif

    $79.95
  • Numark DJ2GO Ultra Compact USB...
    stars_61x13_bluonwht_50.gif

    $59.95
  • Philips DC291 Docking Clock...
    stars_61x13_bluonwht_40.gif

    $119.95

  • [h=3]Introducing the Apple Thunderbolt Display.[/h]
  • [h=3]iTunes Festival 2011.[/h] Take centre stage with iPad.
    Watch gigs live and on demand.

  • [h=3]Gear up for college with the latest Mac and iPad accessories.[/h]

[h=2]Why buy at the Apple Store[/h]
footer_icon_build.png
[h=3]Build your perfect Mac.[/h] Customize it to your exact specifications.
Learn more

footer_icon_ship_ipod.png
[h=3]Free Shipping.[/h] Get free ground shipping on orders over $50.
Learn more

footer_icon_engrave.png
[h=3]Free iPod engraving.[/h] Add a personal message to your iPod for free.
Learn more

footer_icon_telesales.png
[h=3]Questions? Just ask.[/h] Call to talk to a knowledgeable Apple Specialist.
1-800-MY-APPLE

[h=3]Check your order[/h] See order status, track shipment, pre-sign for your package, make a change, return items, and more.
Visit Order Status

[h=3]Keep me informed.[/h] Receive emails about special offers, promotions, exclusive product information and news.
 
Aaah tutapambana tuu bora bei hiyo kuliko ya tunavyonunua sasa vichochoroni halafu bei ni Kama imezidi hio na vitu vinakua ni vizee sio vinavyokuwa kama wanavyouza apple store
 
Tz iphone 4 ths 2,6xx,xxx (milioni 2 laki 6 na nukta nukta kadhaa). Convert kwa dollars.
 
Tz iphone 4 ths 2,6xx,xxx (milioni 2 laki 6 na nukta nukta kadhaa). Convert kwa dollars.
ni kama $1664 hivi na niufisadi tuu. Wakati kwa apple store zinaanzi $800 kama milioni 1 na lakimbili hivi na elfu arubaini. hapo unapata kitu kipya cha mwaka huu sio cha mwaka juzi
 
Hii nimeitoa kwnye website moja hv kwnye comments ''Nice, they opened App Store to some
countries where an Apple product's
price equals the yearly income of a
family living there.''
 
Kwani bei zao si sawa tu na computer tunazotumia huku au watt wengene hawajawahi tembea wanazania tunakaa wote kwa nyumbani za udongo. Kunawatu mamboyao super wanaweza mudu vitu hata via bei ya juu bongo ndo apple wanataka kuwaletea bizaa. Kwa wale washabikiaji wataendelea kushabikia tuu
 
ni kama $1664 hivi na niufisadi tuu. Wakati kwa apple store zinaanzi $800 kama milioni 1 na lakimbili hivi na elfu arubaini. hapo unapata kitu kipya cha mwaka huu sio cha mwaka juzi

Umeweka kodi za Jk hapo! Hebu weka kodi uone kama bei haitakuwa Tsh 2m+
 
Nadhani maduka ya Apple, yanapanga bei kulingana na pato la nchi (ila sina uhakika sana). Maana bei zake zinatofautiana nchi na nchi.
Select your iPhone
product-hero-3gs.jpg
iphone-3gs-logo.gif
8GB[SUP]1[/SUP]
€499.00 Ships: Within 24hrs

Free shipping

product-hero-white-iphone4-geo
iphone-4-logo-new.gif
16GB[SUP]1[/SUP]
From €599 Black
Ships: Within 24hrs

White
Ships: Within 24hrs

32GB[SUP]1[/SUP]
From €699 Black
Ships: Within 24hrs

White
Ships: Within 24hrs

Free shipping

* iPhone order limit: two per customer.

Kisha angalia na kwenye website ya Apple America, utaona kuwa kununua kwa kutumia dolar ($) ni rahisi sana kuliko euro (&#8364😉.
 
Hii nimeitoa kwnye website moja hv kwnye comments ''Nice, they opened App Store to some
countries where an Apple product's
price equals the yearly income of a
family living there.''

you cant be serious ina maana na mimi ntakujakununua iphone
 
Wasipoleta apple store tutasubiria wachina watuletee lie feki yao
 
Ni wazo zuri kwamba tuombe Apple Retail Store Tanzania, lakini kwa ufahamu wangu mdogo sidhani kama hili litawezekana. Apple wanafungua Retail stores katika miji ambayo kuna wanunuzi wengi wa bidhaa zao, katika maduka yao zaidi ya 300 Duniani kwa sasa hakuna hata moja ambalo limefunguliwa kwa sababu tu waliomba, bali Apple wenyewe wameweza kuona opportunity na economic benefits (not necessarily profit) za kufungua duka sehemu husika.

Ukiangalia Financial statement za Apple, nyingi kati ya Retail stores hizi zinaendeshwa kwa hasara, Apple wanazitumia kama njia ya ku-promote bidhaa zao mbali na kuuza, pia kutoa customer service. Kwa mfano kuthibitisha hili Apple wanaendesha semina za bure kila wiki katika maduka yote haya kuwaelimisha wateja juu ya namna ya kutumia hardware (Mfano iPhone, Ipad) na software mfano iWeb.

Je ni wangapi kati ya Watanzania wakaazi wako tayari kununua iMac, iPad Apple TV na Macbook Pro? Nadhani ukiangalia uhalisi wa maisha ya Watanzania walio wengi utapata jibu kwamba Apple hawatafungua duka hili kwa sasa. Hao wenye iPhone tu, Apps zinauzwa Dollar 1 na wao wanachakachua badala ya kununua. Apple wanatrack watumiaji na wanunuzi wa vifaa vyao na wao wanajua kila penye soko. Huko UAE kuna duka moja tu, ikiwa Abu Dhabi hakuna Apple Store je Dar?
 
Mimi nazani tukiwaomba apple watatufungulia duka hoja yangu ni kwamba hili duka litakuwa ni njia ya wao kuongesa mauzo afrika mashariki na kati sio kwa watu wa Dar tuu. Na hii ikitokea itanufaisha taifa sana, kama unavyojua watuwengi wanaotumia mac wanakuwaga wateja wazuri sana kwa sababu ya ubora wa bizaa zao. hata kama zinaonekana sio bora lakini watu wakitumia wanaona bizaa za apple zina hadhi ya juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom