Appartment Inapangishwa Vituka (Lumo nyuma ya Airport)

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,339
Heshima kwenu wadau..

Kuna appartment zinapangishwa vituka, nyuma ya airport karibu na Kwa jimmy au Ikizu Motel..

Nyumba ni nzuri kwa bachelor maana ni Chumba master na sebule yake + jiko

Zipo fenced ndani ya gate na sehem salama ya kupaki gari zaidi ya 7,

Kuna umeme na Maji (drilling)

Bei ni 120,000 kwa mwezi na Kodi ni miezi 6.

Wote mnakaribishwa..

Mwenye nia anaweza akawasiliana na mwenye nyumba namba 0712 638615 kwa ajili ya maelezo zaidi
 
Tunashukuru kwa maelezo mazuri na yaliyojitosheleza,kazi kwenu bachelors
 
weka picha ili watu wakija waje mazima na siyo waje kuangalia kwanza
 
Picha Muhimu sana mkuu!

Simu yangu haina uwezo wa ku upload picture,

Nikipata simu nzuri yenye picture na quality nzuri nitaweka wandugu..

Nashukuru mpaka sasa kwa kupitia jamii forums moja imeshachukuliwa na member aliyekuja kuona, mchana huu zimebaki 2,

Wazee wa picha msiwe na shaka zinakuja soon nikipata camera au simu nzuri
 
Pamoja sana.
 
Heshima kwenu wadau..

Kuna appartment zinapangishwa vituka, nyuma ya airport karibu na Kwa jimmy au Ikizu Motel..

Nyumba ni nzuri kwa bachelor maana ni Chumba master na sebule yake + jiko

Zipo fenced ndani ya gate na sehem salama ya kupaki gari zaidi ya 7,

Kuna umeme na Maji (drilling)

Bei ni 120,000 kwa mwezi na Kodi ni miezi 6.

Wote mnakaribishwa..

Mwenye nia anaweza akawasiliana na mwenye nyumba namba 0712 638615 kwa ajili ya maelezo zaidi

Kaka hizi nyumba zip?
 
Back
Top Bottom