Kama unatumia vocha kuongeza salio, basi hii app inakufaa sana! Inaitwa Voucher Master inapatikana Play Store – unatumia kamera ya simu tu kuskani vocha na salio linaingia moja kwa moja bila kuandika namba yoyote.
App pia ina sehemu ya Huduma ambapo unaweza
Kupiga moja kwa moja kwenda kwa:
App pia ina sehemu ya Huduma ambapo unaweza
- Kuangalia namba yako ya simu
- Kuangalia salio lako
- Kuomba kupigiwa (Please call me)
- Huduma za pesa (Mobile money)
- Na huduma nyingine za muhimu kwa watumiaji wa simu
Kupiga moja kwa moja kwenda kwa:
- Polisi
- Zima moto na Uokoaji
- Gari la wagonjwa
- Namba nyingine muhimu wakati wa matatizo