APP YA KITAMBULISHO CHA TAIFA

Mudugu

Senior Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
145
Reaction score
138
Ndugu wana jf natumaini u wazima wa afya njema
Mojakwamoja niingie kwenye maada
Je hii app ya kotambulisho cha taifa niyakweli Au miyeyusho?
Maanimeiona hiyo app inasambazwa sana kwenye mitandao ya kijamii
Nimejalibu kuifuatilia haieleweki imenipa wasiwasi kama kuna wanao ijua vizuri
naomba tufahamishane ukweli wa hii app
 
jera
mda

inaondoa uhalali wa hiyo app,wizi tu hapo.
 
Aliyeanzisha hiyo app inaonekana ni tapeli tu ambaye hajamaliza hata darasa la 7.
Paliponitia mashaka ni yale maneno yake ya mwishoni.
Aijasajiliwa.
Jera.
Hahaha kweli mkuu
 
app mnayoitukana pia ndo iliyompa mdogo wangu iyo namba ya NIDA akasajili line....nachokiona apa ni watu kubisha tu bila ata kufatilia
 
app mnayoitukana pia ndo iliyompa mdogo wangu iyo namba ya NIDA akasajili line....nachokiona apa ni watu kubisha tu bila ata kufatilia
sawee225 unaisifia hiyo app yawezekana niyakwako mkuu
Nimeifuatilia nikaiona haileweki.
Hapo mwishoni inasema kabla ya kupata namba ya kitambulisho wasambazie watu nane
Wizi mtupu
 
Hao Matapeli wasiliana na NIDA au nenda Ofisi za NIDA wilaya yako
 
Attachments

  • Screenshot_20190816-223348.png
    98.8 KB · Views: 35
app mnayoitukana pia ndo iliyompa mdogo wangu iyo namba ya NIDA akasajili line....nachokiona apa ni watu kubisha tu bila ata kufatilia
Yawezekana wametumia taarifa mlizojaza jaza hapo kupata namba yenu ya kitambulisho nida kisha kuwapatia ninyi

Maana kama taarifa zimewafikia nida mtu yoyote anaweza kukusaidia kupata namba as long as awe na majibu ya msawali yoote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…