Ramo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,818
- 1,827
Inategemea shipping agent uliyemtumia. Free shipping au seller's method of shipping,au china registered airmail small packete plus na njia nyingine za posta kutoka china zinachukua mda mrefu mzigo kufika. Kuanzia mwezi mmoja mpaka miwili na wakati mwingine zaidi.Hata hao Aliexpress wanachelewa kutma mzigo
Nimesubiria mzgo had nimechoka