wakatanta JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 2,593 Reaction score 3,161 Jun 18, 2019 #1 Kama kichwa cha habari nifanyaje ill niipate app ya E TV inayopatikana dar Tanzania. Nikijaribu kupitia play store option ya hiyo TV haionekani. Zinazo onekana clouds TV, azam, na nyingine nyingi. Msaada tafadhali kwa anaeijua njia ya kuipata
Kama kichwa cha habari nifanyaje ill niipate app ya E TV inayopatikana dar Tanzania. Nikijaribu kupitia play store option ya hiyo TV haionekani. Zinazo onekana clouds TV, azam, na nyingine nyingi. Msaada tafadhali kwa anaeijua njia ya kuipata