Danywilly New Member Joined Dec 13, 2021 Posts 2 Reaction score 1 Dec 15, 2021 #1 Habari wana jf, Samahani naweza kupata msaada ni kivipi naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye App store tafadhari, naomba kuwasilisha
Habari wana jf, Samahani naweza kupata msaada ni kivipi naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye App store tafadhari, naomba kuwasilisha
Daraja2 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 285 Reaction score 346 Dec 15, 2021 #2 Nenda play store andika jina la hiyo app na mbele yake andika download. Mfano, whatssap app download au instagram app download. Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
Nenda play store andika jina la hiyo app na mbele yake andika download. Mfano, whatssap app download au instagram app download. Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,067 Reaction score 43,498 Dec 15, 2021 #3 Danywilly said: Habari wana jf, Samahani naweza kupata msaada nikivp naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye app store tafadhari, naomba kuwasilisha Click to expand... Unamaanisha udownload apps za Android kwenye ios sio? Haiwezekani kwa njia za kawaida.
Danywilly said: Habari wana jf, Samahani naweza kupata msaada nikivp naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye app store tafadhari, naomba kuwasilisha Click to expand... Unamaanisha udownload apps za Android kwenye ios sio? Haiwezekani kwa njia za kawaida.
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,598 Reaction score 5,187 Dec 15, 2021 #4 Mbadala wake ni upi Chief
Danywilly New Member Joined Dec 13, 2021 Posts 2 Reaction score 1 Dec 15, 2021 Thread starter #5 Ni njii zipi naweza kutumia mkuu
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Dec 17, 2021 #6 Danywilly said: Habari wana jf, Samahani naweza kupata msaada nikivp naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye app store tafadhari, naomba kuwasilisha Click to expand... Wanavyosema aifoni ni gereza la kifalme uwe unaelewa
Danywilly said: Habari wana jf, Samahani naweza kupata msaada nikivp naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye app store tafadhari, naomba kuwasilisha Click to expand... Wanavyosema aifoni ni gereza la kifalme uwe unaelewa
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Dec 17, 2021 #7 Tunaenjoy sana lakini trust me MC44 said: Wanavyosema aifoni ni gereza la kifalme uwe unaelewa Click to expand...
Tunaenjoy sana lakini trust me MC44 said: Wanavyosema aifoni ni gereza la kifalme uwe unaelewa Click to expand...
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,067 Reaction score 43,498 Dec 17, 2021 #8 Kilangi masanja said: Mbadala wake ni upi Chief Click to expand... Danywilly said: Ni njii zipi naweza kutumia mkuu Click to expand... Mpaka ujailbreak simu yako uweke iandroid
Kilangi masanja said: Mbadala wake ni upi Chief Click to expand... Danywilly said: Ni njii zipi naweza kutumia mkuu Click to expand... Mpaka ujailbreak simu yako uweke iandroid
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Dec 17, 2021 #9 Binamuyako said: Tunaenjoy sana lakini trust me Click to expand... Haya nadhani umeona ushauri wa chief hapo juu
Binamuyako said: Tunaenjoy sana lakini trust me Click to expand... Haya nadhani umeona ushauri wa chief hapo juu
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Dec 17, 2021 #10 Sawa MC44 said: Haya nadhani umeona ushauri wa chief hapo juu Click to expand...
M medy 2 Member Joined Mar 20, 2017 Posts 41 Reaction score 4 Dec 19, 2021 #11 Mimi nahitaji gbwhatsapp kwenye iPhone nafanyaje
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Dec 20, 2021 #12 Sahau endelea na michongo mingine medy 2 said: Mimi nahitaji gbwhatsapp kwenye iPhone nafanyaje Click to expand...
Sahau endelea na michongo mingine medy 2 said: Mimi nahitaji gbwhatsapp kwenye iPhone nafanyaje Click to expand...