Mkuu umeanza kutumia simu lini?Habari,
Naomba kujuzwa application nzuri inayoweza kuzuia sms na calls za mtu uliyemkusudia.
Kama inapatikana kwenye play store itakua vizuri zaidi.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Mkuu kuna simu nyingi nshatumia za kichina zina hayo mambo, tena vingine ni vidogo sana. Tatizo ipo kwenye hii ya sasa haina hayo mavituNdo matatizo ya kutumia Made in Ghuanzou mkuu!
Simu tu bila App inaweza kumaliza hiyo Makitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia ipi kwa sasa boss?Mkuu kuna simu nyingi nshatumia za kichina zina hayo mambo, tena vingine ni vidogo sana. Tatizo ipo kwenye hii ya sasa haina hayo mavitu
Yah nshatumia kwenye simu zilizopita ilikua inazuia kila kitu hadi sms, na ukitaka kujua nani alikutafuta unakwenda kwenye calls logs unaona zote.