MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,400
Kichwa cha habari kinajitosheleza, naomba mwenye kuijua APP nzuri anisaidie.
Wikendi njema.
Wikendi njema.
Malipo je???Download DStv Now nikupe email na password
Nikuuzie website link utaona kila mechi dunia nzimaKichwa cha habari kinajitosheleza, naomba mwenye kuijua APP nzuri anisaidie.
Wikendi njema.
Awali nilikuwa nayo nikapoteza simu sasa nishaisahau that's why ninaomba mwenye kuijua isiyo na malipo ya kutumia data za kawaida.Nikuuzie website link utaona kila mechi dunia nzima
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Shukurani mkuu.Yacine TV download ktk google chrome
Hii haijawah goma nachek mechi moja kwa mb 200 hadi 150Mi najua website www.hesgoal.com haijawahi kuniangusha
Mwenye kujua ya kudownload musicKichwa cha habari kinajitosheleza, naomba mwenye kuijua APP nzuri anisaidie.
Wikendi njema.
Mkuu umeulizwa kuhusu malipo inakuwaje, umepiga myaki!Download DStv Now nikupe email na password
Mkuu hakuna malipo natoa tu bureMkuu umeulizwa kuhusu malipo inakuwaje, umepiga myaki!
Mkuu hakuna malipo natoa tu bure
Hii app iko vizur sanaYacine TV download ktk google chrome
Inachagua mechHii haijawah goma nachek mechi moja kwa mb 200 hadi 150View attachment 1985326
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Saiv inazinguaInachagua mech