App kwa ajili ya Multi-Messaging

App kwa ajili ya Multi-Messaging

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,824
Reaction score
3,021
Habarini wana jamvi,

Naomba msaada wa App ya Android au iOS ambayo nitaitumia kutuma ujumbe mmoja kwa watu wengi, ambapo pia mpokeaji atapokea ujumbe ukiwa na jina la taasisi/kampuni au huduma iliyomtumia ujumbe na si namba.

Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom