App gani za bure za iPhone ni nzuri?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
766
500
Poleni na majukumu ndugu zanguni.By nature natumia iphone ila kama tunavojua changamoto za (IOS) baadhi ya apps mpaka uweke keshi.

Naomba wale wakali wa apps free za iphone mnisaidie apps kali na kazi zake mfano:

xender=sharing files with non-ios devices

1.1.1.1=VPN for private networks

Fileget=For files downloading (Videos & audios)

*Japokuwa kwenye Fileget spati quality ya 720 HD ila kama ntapata app nyingine yenye uwezo huo basi itakuwa kizazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom