App gani ya android inaweza kipima umbali wa barabara

App gani ya android inaweza kipima umbali wa barabara

Mosahe

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
67
Reaction score
33
Mada yajieleza nahitaji kupima kipande cha ardhi ili nijue kina umbali gani, kinatakiwa kilimwe barabara ya mtaa ili kandarasi asiibe hera nitjuaje umbali wake?

Kumbuka hapapitiki kwamba naweza kutumia pikipiki au gari!
 
Umbali wa Barbara au urefu wa barabara?
 
Kama ni urefu tafuta play store GPS essentials
 
Ukiondoa android kuna google earth (maps) yaweza kufaa pia.
 
unatakiwa utafute ruler ya gps zipo nyingi playstore ila accuracy yake sio 100%. kama ni project serious tafuta tu wataalamu wapime.
 
Back
Top Bottom